Yeah waanzie kwenye surveallance camera ili kumtambua mwanaume aliyekuwa nae chumbani then mengine yatafuata...RIP Asha
CCTV zinasemaje? Au mchumba alizinyofoa zote
Na povu la mdomo na puani ilikuwaje, au aliingiza mdushelele puani na mdomoni....Maji yalizidi unga ninii
Viagra kala Mwanaume,Viagra na povu la mdomoni wapi na wapi?
Marehemu kukutwa na povu automatically ni tatizo la upumuaji suffocating either kakabwa koo au kazibwa mdomo na pua otherwise kama ni hiyo Viagra itakua upande wa oralsexViagra kala Mwanaume,
Mwanamke kazidiwa na game, ilikua tough na tight
Hili watu hawalioni kama ni muhimu kwani bado wako nyuma kwa technology na hawatakiKwani hoteli haina CCTV camera? Au meneja kazinyofoa? Ni wakati sasa hoteli zote walazimishwe kufunga cctv camera nje na ndani ili kukabiliana na hali hii na kwenda na wakati pia. R. I. P dada.