Bibi fisi atakua shujaa ikiwa kweli alifanya hili

opot opot

Senior Member
Dec 17, 2018
110
138
Wakuu habarini za muda,

Kwa wale wazawa wa Mwanza wa miaka 80s kushuku chini mtakua mlimsikia au hata kumuona Bibi fisi alikua akiishi Jirani na hospitali ya Bugando.

Kuna uvumi nimeusikia toka udogo wangu kua wakati wa vita vya Tanzania na Uganda wakati wa Nduli Amini kuwa, Majeshi ya Amini yalikua yameiweka kwenye target yao kuilipua. basi bana waliporusha lile kombora kuipiga bugando kua bibi fisi akalichengesha lile kombora likaishia kuanguka ziwa viktoria. bibi fisi alikua mtajika kwenye maswala ya uchawi inavyosemekana.

Wajuzi wa mambo ni kweli bibi alifanya tukio hili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom