UTEC New Member Joined Oct 31, 2021 Posts 1 Reaction score 0 Nov 1, 2021 #1 Ndugu wana JF biashara gani yenye mtaji mdogo inamfaa mwanamke, karibuni tulijadili hili ili wadada na wamama kadhaa waweze kupata chochote kitu
Ndugu wana JF biashara gani yenye mtaji mdogo inamfaa mwanamke, karibuni tulijadili hili ili wadada na wamama kadhaa waweze kupata chochote kitu
martial jb JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 864 Reaction score 1,464 Nov 2, 2021 #2 Mtaji mdogo kiasi gani?, Maana kuna mishe nyingi ndogo ndogo, anyway anaweza akaanza na kuuza matunda (fruits) , viungo vya chakula au kuuza vitafunio kama ana vifaa vya kupikia na kuuzia
Mtaji mdogo kiasi gani?, Maana kuna mishe nyingi ndogo ndogo, anyway anaweza akaanza na kuuza matunda (fruits) , viungo vya chakula au kuuza vitafunio kama ana vifaa vya kupikia na kuuzia
gkasambo Member Joined Apr 12, 2017 Posts 64 Reaction score 71 Nov 2, 2021 #3 Saloon ya kike Mgahawa Kukopesha vitenge
N nyumbamungu JF-Expert Member Joined Mar 3, 2017 Posts 1,034 Reaction score 900 Nov 2, 2021 #4 UTEC said: Ndugu wana JF biashara gani yenye mtaji mdogo inamfaa mwanamke, karibuni tulijadili hili ili wadada na wamama kadhaa waweze kupata chochote kitu Click to expand... We ni mwanamke au msichana, kuna biashara ambazo ni nadra sana kuwakuta wasichana wakizifanya, ingawa wapo ila sio wengi...
UTEC said: Ndugu wana JF biashara gani yenye mtaji mdogo inamfaa mwanamke, karibuni tulijadili hili ili wadada na wamama kadhaa waweze kupata chochote kitu Click to expand... We ni mwanamke au msichana, kuna biashara ambazo ni nadra sana kuwakuta wasichana wakizifanya, ingawa wapo ila sio wengi...
kipozi JF-Expert Member Joined Jan 23, 2015 Posts 1,314 Reaction score 1,705 Nov 6, 2021 #5 Kama mtaji mdogo auze nguo za ndani chupi nzuri za cotton hereni nzuri cheni na bracelet huwa zinalipa na huitaji mtaji mkubwa
Kama mtaji mdogo auze nguo za ndani chupi nzuri za cotton hereni nzuri cheni na bracelet huwa zinalipa na huitaji mtaji mkubwa