Biashara yenye pesa nyingi huwezi ikuta ikipambanuliwa mitandaoni hata siku1

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,961
Yaani ukiona biashara flani inafundishwa sana kwamba watu wengne wafanye ujue haina hela hiyo.

Hata kama ina hela bas ni vijihela

We ushawai waona wahind au waarab wanahangaika et mitandaon huko...

Biashara zenye pesa huwa zinapigwa kimya kimya ili watu wasiwe weng kwenye soko

Uzi tayar
 
Kwahyo tuache biashara ya vijihela tutafute ambayo haitangazwi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna jipya chini ya jua

Labda ungesema waliofanikiwa uwa hawaelezi kila kitu kuhusu mafanikio yao
 
hahaha
mbavu zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…