N NKONKO Member Joined Jun 4, 2014 Posts 25 Reaction score 13 Jun 5, 2014 #1 Naomba kwa mwenye uelewa wa wapi na kwa bei gani zao la Mwani linapatikana kwa hapa Tanzania,natanguliza shukrani zangu kwa wanajamiiforum wenzangu ahsanteni.
Naomba kwa mwenye uelewa wa wapi na kwa bei gani zao la Mwani linapatikana kwa hapa Tanzania,natanguliza shukrani zangu kwa wanajamiiforum wenzangu ahsanteni.
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,894 Reaction score 10,123 Jun 9, 2014 #2 Njoo Zanzibar kuna Jumuiya zinauza zao hilo na kulima kwa wingi. Sio mzoefu wa mambo ya bei,nikipata nitakujulisha
Njoo Zanzibar kuna Jumuiya zinauza zao hilo na kulima kwa wingi. Sio mzoefu wa mambo ya bei,nikipata nitakujulisha
N NKONKO Member Joined Jun 4, 2014 Posts 25 Reaction score 13 Jun 10, 2014 Thread starter #3 Zanzibar Spices said: Njoo Zanzibar kuna Jumuiya zinauza zao hilo na kulima kwa wingi. Sio mzoefu wa mambo ya bei,nikipata nitakujulisha Click to expand... Ahsante sna kwa taarifa bwana Zanzibar spices
Zanzibar Spices said: Njoo Zanzibar kuna Jumuiya zinauza zao hilo na kulima kwa wingi. Sio mzoefu wa mambo ya bei,nikipata nitakujulisha Click to expand... Ahsante sna kwa taarifa bwana Zanzibar spices
Tayukwa JF-Expert Member Joined Dec 11, 2014 Posts 2,182 Reaction score 4,422 May 14, 2017 #4 Zanzibar Spices said: Njoo Zanzibar kuna Jumuiya zinauza zao hilo na kulima kwa wingi. Sio mzoefu wa mambo ya bei,nikipata nitakujulisha Click to expand... Mkuu mimi ninao mwani kiasi cha kutosha tu kama kuna soko unalijua kwa Dsm naomba unijuze tafadhali
Zanzibar Spices said: Njoo Zanzibar kuna Jumuiya zinauza zao hilo na kulima kwa wingi. Sio mzoefu wa mambo ya bei,nikipata nitakujulisha Click to expand... Mkuu mimi ninao mwani kiasi cha kutosha tu kama kuna soko unalijua kwa Dsm naomba unijuze tafadhali
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 95,895 Reaction score 136,815 May 14, 2017 #5 NKONKO said: Naomba kwa mwenye uelewa wa wapi na kwa bei gani zao la Mwani linapatikana kwa hapa Tanzania,natanguliza shukrani zangu kwa wanajamiiforum wenzangu ahsanteni. Click to expand... Mimi nishawahi kufanya hii biashara mafia zao hilo lipo sna tu hko .....changamoto kubwa nliyokutana nayo mpaka nkaachana nayo ilikuwa kwenye bei wakati huo kilo moja ilikuwa 250 kuuuza ila kwa sasa sjui bei imesimamaje Ova
NKONKO said: Naomba kwa mwenye uelewa wa wapi na kwa bei gani zao la Mwani linapatikana kwa hapa Tanzania,natanguliza shukrani zangu kwa wanajamiiforum wenzangu ahsanteni. Click to expand... Mimi nishawahi kufanya hii biashara mafia zao hilo lipo sna tu hko .....changamoto kubwa nliyokutana nayo mpaka nkaachana nayo ilikuwa kwenye bei wakati huo kilo moja ilikuwa 250 kuuuza ila kwa sasa sjui bei imesimamaje Ova