mkonowapaka JF-Expert Member Joined Feb 19, 2010 Posts 1,492 Reaction score 771 Feb 6, 2014 #1 Wajasiria wenzangu Nina mpango wa kufungua duka la vipodozi hasa hasa vya kina mama siku za karibuni. Kwa yeyote mwenye ufahamu wa kutosha juu ya biashara hii naomba michango yenu.
Wajasiria wenzangu Nina mpango wa kufungua duka la vipodozi hasa hasa vya kina mama siku za karibuni. Kwa yeyote mwenye ufahamu wa kutosha juu ya biashara hii naomba michango yenu.
wiseboy JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,930 Reaction score 3,310 Feb 6, 2014 #2 mkonowapaka said: wajasiria wenzangu nina mpango wa kufungua duka la vipodoz hasa hasa vya kina mama siku za karibuni...kwa yeyote mwenye ufahamu wa kutosha juu ya biashara hii naomba michango yenu Click to expand... una mtaj wa sh. Ngp? Na unataka kuwekeza eneo gani?
mkonowapaka said: wajasiria wenzangu nina mpango wa kufungua duka la vipodoz hasa hasa vya kina mama siku za karibuni...kwa yeyote mwenye ufahamu wa kutosha juu ya biashara hii naomba michango yenu Click to expand... una mtaj wa sh. Ngp? Na unataka kuwekeza eneo gani?
B BABY ACY Member Joined Nov 18, 2012 Posts 78 Reaction score 14 Feb 6, 2014 #3 Eneo linamata sna. Pia vipodoz vinalipa ngoja wahusika waje wakudadavulie vzr
mkonowapaka JF-Expert Member Joined Feb 19, 2010 Posts 1,492 Reaction score 771 Feb 6, 2014 Thread starter #4 wiseboy said: una mtaj wa sh. Ngp? Na unataka kuwekeza eneo gani? Click to expand... kama 5m ivi ya kuanzia...maeneo yenye heavy population bado nasaka eneo
wiseboy said: una mtaj wa sh. Ngp? Na unataka kuwekeza eneo gani? Click to expand... kama 5m ivi ya kuanzia...maeneo yenye heavy population bado nasaka eneo
mwathu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2012 Posts 403 Reaction score 210 Feb 6, 2014 #5 Na mimi nina wazo kama lako ngoja tupate ujuzi wa hii kitu mzee