Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,565
Anza na kile ambacho moyo wako unaamini utaweza kukisimamia na kukufikisha unakotaka.Wakuu heshima yenu
Sasa ndugu zangu kijana wenu nina mtaji wa M5 nipo nafikiria kuanzisha biashara moja kati hizo 2 hapo ndani ya mji wa Dsm maeneo ya mbezi mwisho au kimara
Kwenye biashara ya vipodozi nisiwafiche nahofia ukweli kuwa mimi sina ule muonekano wa ki hb wa kusimama dukani (sijui ni mawazo yangu tu kuwa lazima muuza vipodozi au hb/cutie) hapa nataka kuuza
Perfumes
Spray
Mafuta
Deodorants
Hereni
Bangili
Saa
Biashara ya electronics hapa nataka kuuza
Switches
Bulbs
Wires
Pipes
Extensions and the likes
Sasa wakubwa zangu mliozoea biashara naomba mnisaidie mawazo yenu ni ipi biashara itakayonifaa zaidi na kwanini ?
Nb
Ndo naanza maisha kwa hio mimi ni mgeni katika biashara
Nafikiria pia kuweka mobile money katika hizo biashara kwa mtaji mwingine wa pembeni kama 1.5M hiv
Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa kwa mchango wenu
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Moyo wangu wangu wa kipuuzi tu [emoji23][emoji23] nataka kutumia akili zaidiAnza na kile ambacho moyo wako unaamini utaweza kukisimamia na kukufikisha unakotaka.
Thanks kwa ushauri mzuriBiashara ya vipodozi ni nzuri ikiwa unaanza lakin ikikua changamoto tbs watakusumbua
Ila kwa upande wa vifaa vya umeme ni more valuable sijajua ni mbez sehmu gani exactly
Ila kwa upande wa mbez mwisho fungua mgahawa wa wastani tafta wapish wazur na vinywaji utapga hela sana
Nashukuru sana kwa ufafanuzi wako makini na wenye kuelewekaVifaa ulivyotaja ni vya umeme(Electrical).
Electronics ni vifaa vinavyotumia umeme(kwa lugha rahisi). Electrical ni vifaa vinavyoleta umeme.
Mifano;
Electronics ni radio na accessories, tv na accessories, simu na accessories,
Electrical ndio kama ulivyotaja, nyaya za umeme, bulb, taa, tubelight na accessories.
Tafuta mrembo mkali umuweke dukani.wateja watakuwa wengi sana
Ingekua rahisi hivi mbona wengi wangeshatusua
Main oneKila post ya vipodozi lazima, utokee inaonesha hii business umeimaster sana
uza vipodozi uniajiri mimi nivutie wateja🤣🤣... am jokinWakuu heshima yenu
Sasa ndugu zangu kijana wenu nina mtaji wa M5 nipo nafikiria kuanzisha biashara moja kati hizo 2 hapo ndani ya mji wa Dsm maeneo ya mbezi mwisho au kimara
Kwenye biashara ya vipodozi nisiwafiche nahofia ukweli kuwa mimi sina ule muonekano wa ki hb wa kusimama dukani (sijui ni mawazo yangu tu kuwa lazima muuza vipodozi au hb/cutie) hapa nataka kuuza
Perfumes
Spray
Mafuta
Deodorants
Hereni
Bangili
Saa
Biashara ya electronics hapa nataka kuuza
Switches
Bulbs
Wires
Pipes
Extensions and the likes
Sasa wakubwa zangu mliozoea biashara naomba mnisaidie mawazo yenu ni ipi biashara itakayonifaa zaidi na kwanini ?
Nb
Ndo naanza maisha kwa hio mimi ni mgeni katika biashara
Nafikiria pia kuweka mobile money katika hizo biashara kwa mtaji mwingine wa pembeni kama 1.5M hiv
Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa kwa mchango wenu
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Mbeya kunakiwanda?Ukifungua biashara ya vipodozi nipe oda niwe nakuletea mzigo kutoka mbeya
Kaka naomba tuwasliane 0713369611Ukifungua biashara ya vipodozi nipe oda niwe nakuletea mzigo kutoka mbeya