Zote 2 inawezekana. Lakini kikubwa Location ya kuweza hizo biashara na pia elimu kidogo juu ya hizi Biashara inatakiwa! Pia Mtaji unaanza nao na yenyewe ina impact na hii BiasharaZote ni biashara zinazo trend sana , haswa vipodozi kwa vile wahusika wengi ni wanawake, kama ijulikanavyo wanawake asilimia kubwa bila urembo hawawezi kuishi.
Lakini kwa namna watu wengi wanavyo jenga na teknolojia ya ujenzi inavyo kua kila siku , biashara ya vifaa vya umeme ni bora zaidi.
Tafuta location nzuri fungua duka la mahitaji ya nyumbani..... Tafuta location ambayo kama kutakua na duka kama lako basi hilo duka liwe halijajitosheleza mahitaji.....Wakuu heshima yenu
Sasa ndugu zangu kijana wenu nina mtaji wa M5 nipo nafikiria kuanzisha biashara moja kati hizo 2 hapo ndani ya mji wa Dsm maeneo ya mbezi mwisho au kimara
Kwenye biashara ya vipodozi nisiwafiche nahofia ukweli kuwa mimi sina ule muonekano wa ki hb wa kusimama dukani (sijui ni mawazo yangu tu kuwa lazima muuza vipodozi au hb/cutie) hapa nataka kuuza
Perfumes
Spray
Mafuta
Deodorants
Hereni
Bangili
Saa
Biashara ya electronics hapa nataka kuuza
Switches
Bulbs
Wires
Pipes
Extensions and the likes
Sasa wakubwa zangu mliozoea biashara naomba mnisaidie mawazo yenu ni ipi biashara itakayonifaa zaidi na kwanini ?
Nb
Ndo naanza maisha kwa hio mimi ni mgeni katika biashara
Nafikiria pia kuweka mobile money katika hizo biashara kwa mtaji mwingine wa pembeni kama 1.5M hiv
Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa kwa mchango wenu
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
mkuu wa umuhm upate location yeny mzunguk mkubwa wa watu.Wakuu heshima yenu

Tbs kvp mkuuBiashara ya Vipodoz inalipa kabla haujakutana na TBS
Mtoa mada ameomba ushauri Kati ya vipodozi na electronics wewe unaleta habari za nafaka mara airtel money una akili sawa sawa kweliTafuta location nzuri fungua duka la mahitaji ya nyumbani..... Tafuta location ambayo kama kutakua na duka kama lako basi hilo duka liwe halijajitosheleza mahitaji.....
Weka nafaka, weka mafuta na vitu vingine vidg vdg zingatia usafi kushinda duka la jirani ako,
weka na gas na Airtel money na mpesa
🖕🖕🖕🖕🖕🖕Mtoa mada ameomba ushauri Kati ya vipodozi na electronics wewe unaleta habari za nafaka mara airtel money una akili sawa sawa kweli
Nimekaa pale njoo unipige
Nimesevu hii commentUkifungua biashara ya vipodozi nipe oda niwe nakuletea mzigo kutoka mbeya
🤣🤣, jau kweli NkuuMtoa mada ameomba ushauri Kati ya vipodozi na electronics wewe unaleta habari za nafaka mara airtel money una akili sawa sawa kweli
Nimekaa pale njoo unipige
Tronic ni bab-kubwa,hata vipodozi, japo issue ya EXP date sometimes ni zaidi ya changamoto[emoji221]Wakuu heshima yenu
Sasa ndugu zangu kijana wenu nina mtaji wa M5 nipo nafikiria kuanzisha biashara moja kati hizo 2 hapo ndani ya mji wa Dsm maeneo ya mbezi mwisho au kimara
Kwenye biashara ya vipodozi nisiwafiche nahofia ukweli kuwa mimi sina ule muonekano wa ki hb wa kusimama dukani (sijui ni mawazo yangu tu kuwa lazima muuza vipodozi au hb/cutie) hapa nataka kuuza
Perfumes
Spray
Mafuta
Deodorants
Hereni
Bangili
Saa
Biashara ya electronics hapa nataka kuuza
Switches
Bulbs
Wires
Pipes
Extensions and the likes
Sasa wakubwa zangu mliozoea biashara naomba mnisaidie mawazo yenu ni ipi biashara itakayonifaa zaidi na kwanini ?
Nb
Ndo naanza maisha kwa hio mimi ni mgeni katika biashara
Nafikiria pia kuweka mobile money katika hizo biashara kwa mtaji mwingine wa pembeni kama 1.5M hiv
Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa kwa mchango wenu
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Vifaa ulivyotaja ni vya umeme(Electrical).Wakuu heshima yenu

Wakuu heshima yenu