Biashara ya vifaa vya simu

mchagger

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2019
Posts
867
Reaction score
1,079
Habari wadau, naomba kufahamu mwenye kujua chimbo Kariakoo ambalo naweza pata vifaa vya simu kwa bei ya bure yaani kule kule wanapochukulia hawa wanaotuuzia jumla kwenye fremu zao Kariakoo

AHSANTE
 
Kama vifaa gani mkuu nikuunganishe kwa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…