Kwanza nimejifunza vitu vingi nilivyokuwa sivijui...na nibaada ya kukosa ushauri sahihi...nikaenda nikapata asara nikawa nimejifunza...
Ngoja nikudokezee..
Kama unaaza biashara au Kama unatembe mijini ukakuta watu wameanga viatu vizuri, achana na masokoni nasemea mitahani...
Hao watu awanunui mabarao
Nakushauri chonde chondee USINUNUE MABAROO...Kununua barohoo nisawa na Kununua mbuzi kwenye gunia
Unachotakiwa kufanya Ni kufanya Peaking...kuchagua..
Means unanunua kiatu kulinga nakinayo onekana pia unapima na unakoenda kukiuzia jee kitakulipa??
Mimi nilikurupuka nikachukua barohoo 3..
Nakuka kufungua nakuta viatu vizuri kwenye pair 40 unakuta 5 au 7.....zile 35 nivya buku 3...
Kifunpi nikua kbla ujafanya HIVI jaribu kufatilia kwa wauzaji
Japo Ni wachache watakao kwambia ukwel
Sent using
Jamii Forums mobile app