N Nihry New Member Feb 17, 2021 1 1 Feb 19, 2021 #1 Msadaa tafadhali,kwa biashara ya viatu ( sendo za kike) naweza anza na mtaji wa shi ngapi? Pia mzigo wanachukulia wapi kwa bei ya jumla?
Msadaa tafadhali,kwa biashara ya viatu ( sendo za kike) naweza anza na mtaji wa shi ngapi? Pia mzigo wanachukulia wapi kwa bei ya jumla?
MR AMHAKA Member Feb 7, 2021 14 39 Feb 19, 2021 #2 Nihry said: Msadaa tafadhali,kwa biashara ya viatu ( sendo za kike) naweza anza na mtaji wa shi ngapi? Pia mzigo wanachukulia wapi kwa bei ya jumla? Click to expand... Viatu vya shop au mtumba maelezo yako bado hayajitoshelezii
Nihry said: Msadaa tafadhali,kwa biashara ya viatu ( sendo za kike) naweza anza na mtaji wa shi ngapi? Pia mzigo wanachukulia wapi kwa bei ya jumla? Click to expand... Viatu vya shop au mtumba maelezo yako bado hayajitoshelezii
Spectophotometer JF-Expert Member May 23, 2019 290 438 Feb 20, 2021 #3 Nihry said: Msadaa tafadhali,kwa biashara ya viatu ( sendo za kike) naweza anza na mtaji wa shi ngapi? Pia mzigo wanachukulia wapi kwa bei ya jumla? Click to expand... Uko wapi mkuu?
Nihry said: Msadaa tafadhali,kwa biashara ya viatu ( sendo za kike) naweza anza na mtaji wa shi ngapi? Pia mzigo wanachukulia wapi kwa bei ya jumla? Click to expand... Uko wapi mkuu?
Kiti Chema JF-Expert Member Oct 18, 2017 1,793 1,941 Feb 22, 2021 #4 Nyoosha maelezo ili usaidiwe kwa ufasaha, wapi ulipo, aina ya viatu, kama ni mtumba au spesho, na n.k
Nyoosha maelezo ili usaidiwe kwa ufasaha, wapi ulipo, aina ya viatu, kama ni mtumba au spesho, na n.k
New HIZ O Member Jun 1, 2022 40 65 Jun 1, 2022 #6 MR AMHAKA said: Viatu vya shop au mtumba maelezo yako bado hayajitoshelezii Click to expand... Upo mkoa gan
MR AMHAKA said: Viatu vya shop au mtumba maelezo yako bado hayajitoshelezii Click to expand... Upo mkoa gan