Alafu hizi biashara mbona zinachanganya? Kuna watu juzi tumekutana kariakoo wanachukua viatu aina ya sandals zile za fashion, wanasema wanapeleka Kenya. Kwa bei ya jumla tuliokuwa tunauziwa pale tsh 10,000 kwa hela ya kwao walisema tsh 600, na sandals kama hizo kwa hela ya kwao huko zinauzwa tsh 1400.