Biashara ya utumwa inaendelea Afrika

Hawauzi watu bali wanatoa Huduma haramu na kutoa rushwa. Si kufanya biashara ya kuuza binadamu bali kusafirisha binadamu.
Kuna wanaouzwa mkuu na wanabakishwa mijini huku, unaenda mahali unaletewa malaya mweupe haelewi hata kiingereza anaongea lugha za ajabu ajabu huku anatafsiriwa na alokuunganisha, but in the end unagundua hana uhuru fulani na hana passport wala hana lolote na uzuri wake.....kama hajauzwa hapo anakuwa kafanywaje?
 
Na ukirudi hilo eneo kesho yake huwakuti
 

Hata Arusha kuna Madiwani walinunuliwa, na wengine bado wananunuliwa na CCM kila uchao
 
mkuu, una utani na mnyeti, polepole, na ngosha
 
Kwa yanayoendelea sasa kwenye Wigo wa Siasa ni wazi kua hii Biashara ilipoa tu, haikuisha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…