Wakongwe habari mie Kama Kawaida yangu nachokoza Mada na Leo nachokoza kuhusu Biashara ya kutengeneza samani (furniture)
Kwa maana sofas, vitanda, dining table, etc. Hapa Wakongwe tuongelee zaidi uwekezaji wake kwa maana ya Mtaji, soko lake, changamoto zake (which is very important) na mwisho kabisa ujanja jinsi ya kutengeneza a lot of [emoji383] in bank account.
Hivyo Wakongwe tuelekezane kuhusu Biashara Hii kinaga ubaga ili tuweze kutoboa.
Umenijibu vizuri mkuu unapatikana wapi mimi nina kashow room kadogo keko furniture nauza furniture kwa kuanzia mkuu tafuta sehem ambayo ina market then nijulishe niwe nakuuzia mzigo kwa bei ya jumla.
Changamoto kubwa ni material kama mbao no, lakini pia Kuna aina za vifaa vya finishing ambavyo huku havijafika au haviagizwi kutokana na kukosa soko kwa sababu watumiaji hawavijui ndio maana finishing imekua na matokeo duni kwetu.