mkuu vipi mvua au proper irrigation?kama irrigation sure this is a deal,na well bajaj sina uhakika kuwa ina guarantee ya mda gani!kama ni chini ya 3yrs nayo si deal kivile,well thank u much kwa michango yenu,nadhani tz tunaweza ila mawazo ya kuchangiana mtu unakosa unajikuta wajitosa kichwa kichwa at the end unaua mtaji!! very bad!!
Yaani hapo umetegemea mvua, na umelima mara moja kwa mwaka (miezi mitatu tu). The rest of the year waweza kufanya mambo yako mengine wakati ndugu yako wa bajaj anaendelea kukomaa.
Ukiweza irrigation ndio kabisa maana waweza kulima na kuvuna hata mara 3 kwa mwaka ... yaani hiyo faida hapo zidisha mara 3.
Mwaka huu mvua haijanyesha na kuna maeneo njaa ishaingia, lakini kuna mzee tumemtembelea bagamoyo mwezi uliopita na ndani ya dakika 10 tukawa tunakula mahindi ya kuchoma. Amemwagilia? wala. Indi jani bichi, anafukuza ngedere tu na punda za wamang'ati. Halafu mashamba kibao ya watu wengine yamemzunguka yanaota jani tu.
Leo nimesikia Bagamoyo inasaidiwa chakula kwa sababu ya njaa ... what an irony.
Wewe ni muuza bajaji au mmiliki bajaji?biashara ya bajaj si mbaya sana ...kwa maelezo waone kampuni ya car& general wapigie simu namba 0713-316415
biashara ya bajaj si mbaya sana kama utampata dereva anayejua kutunza pikipiki yake vizuri na asitangulize tamaa ya pesa, na itahitaji usimamizi na ufuatiliaji wa karibu ikiwemo service ya mara kwa mara
bei ya bajaj kwa sasa ni kati 4.5-5.0 million kutegemeana na aina ya bajaj kama ni 2 stroke au 4 stroke
kwa maelezo waone kampuni ya car& general wapigie simu namba 0713-316415
Asante sana. Sikujua hili.Mkuu kama bado hujanunua hiyo bajaj fanya kitu kimoja. Kuna kitu kinaitwa mkataba wa mwaka!mnaandikiana na dereva wa bajaji. Kila siku akuletee shs 20,000 kwa mwez ni laki 6, kwa mwaka ni 7.2milion!hapo hakuna story!akileta story mkataba wake unakufa hapo hapo!mnaandikishana hata kwa mwanasheria!mwaka ukiisha tu bajaj inakua ya kwake!wewe unakua umetengeneza faida ya 3.6milion saafi bila stress.
Ukimpa tu akuletee hesabu bajaj inapakia vitanda, makabati baada ya mwaka mmoja inabd ukauzie fund majiko kama scraper. Ka bajaj hakafai.
Nyingine pia unaweza kununua zile pikipiki za kubebea mizigo!zile siku hizi zinalipa kuliko pick up. Bei yake ni sawa tu na bajaji!
Mkuu kama bado hujanunua hiyo bajaj fanya kitu kimoja!kuna kitu kinaitwa mkataba wa mwaka!mnaandikiana na dereva wa bajaji!kila siku akuletee shs 20,000 kwa mwez ni laki 6!kwa mwaka ni 7.2milion!hapo hakuna story!akileta story mkataba wake unakufa hapo hapo!mnaandikishana hata kwa mwanasheria!mwaka ukiisha tu bajaj inakua ya kwake!wewe unakua umetengeneza faida ya 3.6milion saafi bila stress.
Ukimpa tu akuletee hesabu bajaj inapakia vitanda,makabati baada ya mwaka mmoja inabd ukauzie fund majiko kama scraper!ka bajaj hakafai!
Nyingine pia unaweza kununua zile pikipiki za kubebea mizigo!zile siku hiz zinalipa kuliko pick up!bei yake ni sawa tu na bajaji!
Ushauri mzuri parachichi.Mkuu kama bado hujanunua hiyo bajaj fanya kitu kimoja. Kuna kitu kinaitwa mkataba wa mwaka!mnaandikiana na dereva wa bajaji!kila siku akuletee shs 20,000 kwa mwez ni laki 6!kwa mwaka ni 7.2 milion hapo hakuna story, akileta story mkataba wake unakufa hapo hapo!mnaandikishana hata kwa mwanasheria!mwaka ukiisha tu bajaj inakua ya kwake!wewe unakua umetengeneza faida ya 3.6milion saafi bila stress.
Ukimpa tu akuletee hesabu bajaj inapakia vitanda, makabati baada ya mwaka mmoja inabd ukauzie fund majiko kama scraper!ka bajaj hakafai!Nyingine pia unaweza kununua zile pikipiki za kubebea mizigo!zile siku hiz zinalipa kuliko pick up!bei yake ni sawa tu na bajaji!