Mtumishi Anyi
Member
- Sep 11, 2018
- 31
- 18
Lakini kuna watu wamefanikiwa brazaKuliko kujiunga na haya madude bora ubeti

Sasa mkuu kuliko kupoteza muda huu si ununue smart vitoch kama kumi hivi upige helaBiashara ya upatu ni biashara inayo kuwezesha kuinvest katika digital platform na kujipatia kipato zaidi kulingana na juhudi zako huku mtaji mkubwa ukiwa ni bando lako na charji kupitia smartphone yako tu,
Kuna platform mbalimbali zinazo oparate hizo biashara
Ukiachana na platfom zingine, leo naenda tuiangalie platform inayoitwa*secure earning money* hii ni platform mpya iliyozinduliwa tar 22/05/2021.
ni platform inayo milikiwa na kampuni ya ceenet technologies company ya nchini kenya.
Nafikiri umewahi sikia kua kunawatu wanapata pesa kwa kutumia simu (smartphone) huku mtaji mkubwa ikiwa ni bando na chaji tu... hiyo ni kweli kabisa unaweza kufanya hii bussines kwa kutumia simu yako bila kuharibu ratiba zako za kila siku
NAMNA YA KUCHEZA ILI UPATE PESA
Ili uweze kucheza na kuanza kujipatia kipato, kwanza ni lazima ujisajili(ufungue akauti) katika platform husika, na namna ya kujisajili, unatumiwa link ambayo ukiifungua itakuletea ukurasa ambao utatakiwa kujaza taarifa zako, ukisha maliza kujaza taarifa zako na kutuma utatakiwa kuilipia account yako ili iwe activited kwa kiasi cha Tsh, 13,500 tu. Ukisha lipia hapo utakua tayar umejisajili na kuanza kuitumia
HATUA INAYOFUATA
Hatua inayo fuata baada ya kukamilisha usajili utapewa linki ya kwako binafsi ambayo utaitumia kwa kuisambaza kwa wengine ili nawao wajiunge, na wanapo jiunga kwa pesa ileile kama ambavyo ulijiunga ndivyo akaunt yako itaanza kusoma pesa,
Mfano;
Mtu mmoja utakayemfanikisha kujiunga, nusu ya hela (Tsh, 7,500) itaingia kwenye account yako.
Pia utaweza kupata pesa kwa kucheza michezo mbalimbali iliyopo kwenye hii platform
Mfano,
1. Spinning
2. Kutazama video zitakazo postiwa
3. Kufanya maswali
4.kuandika story na mengine mengi.
Kama utakua interested unaweza kuingia kwa hii link.
Kwa maelezo zaidi au ukiwa na swali lolote call/WhatsApp 0766428475
huu ni utapeli sio biashara yaan unafaidika kwa kutumia nguvu kushawishi nwingne ajiunge na hamna biashara yoyote unayofanya hii biashara aliepo juu ndio anafaidikaBiashara ya upatu ni biashara inayo kuwezesha kuinvest katika digital platform na kujipatia kipato zaidi kulingana na juhudi zako huku mtaji mkubwa ukiwa ni bando lako na charji kupitia smartphone yako tu,