Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,874
- 2,203
Utapeli huu naujua vizuri sana. Na Hata baadhi ya machine haziwezi kusaidia kugundua feki au reall, Na Mimi licha ya kuijua nimekaa kwa migodi mzee. Wewe believe me ni TAPELI, kwanza, dalilili ya utapeli wako ni je. Inawezekana vip
1. Kg moja useme $23,000? Bei ya dhahabu toka mwaka uanze haipo hivyo, hizo ni bei za wapigaji
2. Kwanini umeanza kutoa bei ya kg? Maana wapigaji wao wanauza kwa kg Na hizo ni bei zao.
3. Hiyo bei yako mnaouza, je ni carat ngapi? Purity au je ni bars au CHENGA?
4. Wanunuzi wa dhahabu masonara wengi pia wapo kisutu, huyo kariakoo nani? Wapigaji.
5. Kumshauri anunue mashine Si waiver ya kuwa wewe si tapeli, unajifanya unamshauri kwa makini kumbe kipindi atakutana nacho kkoo kwa huyo uliye mdirect?
Tusifaidishe wengi kwa marumbano yasio Na tija, haina haja niseme wewe Nani Na kundi lako ni wabeshi wapi.
Nachokwambia kuwa wewe ni TAPELI,au broker wanaita wao, yani unatafuta makoro mitandaoni.
Sijakurupuka kaka, Mimi nawajua nyie mentality yenu mwanzo mwisho.
ko hujasema? useme usiseme kikubwa toa kile uelewacho huo ni upimbi kuitana matapeli NITAKUPELI UJE USIMULIE VIZURI BAHATI YAKO HUNA PESA hahahahah6. Katika statement yangu ni wapi nimesema naijua dhahabu mpaka wewe useme kuwa najifanya naijua dhahabu? [emoji4] [emoji4]
Iicha ya kuijua, lakini SIJAMSHAURI AFANYE, BESIDES LABDA NISEME TU KUWA SI BIASHARA YA KUJARIBU AU AFANYE KITU KINGINE.hapo tu ndipo umemaliza kwanza nikuonavyo hujasoma comments zangu toka huko juu na ulivyo mpungufu wa mawazo unaishi kwa kuhisi
na Kizuri umeprove kile nikisemacho upo katika hao unaowaita matapeli HIZO BEI UMEZIJUAJE KAMA HAUPO HILO KUNDI
BASI TAPELI MWENZANGU KAMA ULIVYOSEMA MKUU
KIFUPI usimpe mwenzio imani kuingia katika biashara ya madini kichwa kichwa
na kariakoo ni kama huijui vile mkuu hakuna masonara mpaka kisutu UKAPIMWE AKILI MKUU
kiufupi JAMBO LOLOTE TUMIA AKILI MKUU HUYO KWENDA HAJAENDA MAANA ANGEENDA ANGELETA FEEDBACK HUMU
watu wajinga kama nyinyi tunawaacha mlivyo MWELEKEZE MWENZIO ABC ZA KUPITA usitake tuwataje wapigaji wanajulikana na serikali ipo wanapeta ko tuyaache
Mi sipo machimboni, ningekuwa nipo huko nisingewajua nyinyi. Mimi nipo Dar naishi Salasala. Connection zenu zote za Seamic mnavyofanya, we stay tuned uone nini kinakuja... Mtutapeli kisomi sasa Na si kijinga kama mnavyofanya...ko hujasema? useme usiseme kikubwa toa kile uelewacho huo ni upimbi kuitana matapeli NITAKUPELI UJE USIMULIE VIZURI BAHATI YAKO HUNA PESA hahahahah
maana unabwabwaja sana bora mimi bukubuku hazikosekani mfukoni njoo ulime
huko machimboni utasubiri sana labda ujitoe kafara mwenyewe
Iicha ya kuijua, lakini SIJAMSHAURI AFANYE, BESIDES LABDA NISEME TU KUWA SI BIASHARA YA KUJARIBU AU AFANYE KITU KINGINE.
WEWE, huko ulimpomueleza ndo salama? Acha hizo mzee, hamtapeli watu sasa, Hata kama upo smart kiivyo. Unamshauri aende kkoo, ndo akutane Na kipindi? [emoji56] [emoji56] . Humu ndani hakuna kutapeli mtu kirahisi hivyo. Na ukitaka nifute kauli yangu, eleza hapa kwa ufasaha hiyo bei ya 23000$/kg ni ya wapi, lini Na specification ya dhahabu hiyo. Hapo tu kwa mzoefu anajua kuna kupigwa. Unajifanya kumsaidia kwamba upo smart sana si ndio, ila aende kkoo? [emoji3] [emoji3] [emoji3] . Kama nyie mnauza Na wewe ni mfanya biashara, utamwelekezaje aende kkoo kwa mwingine, Na si wewe? Kwahiyo huyo wa kkoo ye ndo reliable sana? [emoji53] [emoji53]
Jiange richard Nina project kubwa sana ya kuwaumbua, Na kuwafichua.
Jibu kwanza kuhusu bei kama wewe si tapeli.
Mi sipo machimboni, ningekuwa nipo huko nisingewajua nyinyi. Mimi nipo Dar naishi Salasala. Connection zenu zote za Seamic mnavyofanya, we stay tuned uone nini kinakuja... Mtutapeli kisomi sasa Na si kijinga kama mnavyofanya...
Mi sipo machimboni, ningekuwa nipo huko nisingewajua nyinyi. Mimi nipo Dar naishi Salasala. Connection zenu zote za Seamic mnavyofanya, we stay tuned uone nini kinakuja... Mtutapeli kisomi sasa Na si kijinga kama mnavyofanya...
Labda fyi, Mimi sijakaa Shimoni, nimefanya kazi mikoa yenye migodi, so mazingira nayajua.mkuu nakuona maneno yako yapo kwenye kilio kana kwamba umewahi kutapeliwa SEMA KIZURI UMERUDI KWENYE MSTARI WANGU
HII SI BIASHARA YA KUKIMBILIA mwenzio hata hayo machimbo sijafika kama wewe uliyevurugwa unakaa mwezi mzima shimoni ndio maana kidogo zimekupungua mkuu
na kama nilivyokueleza mwanzo husomi comments za juu hiyo bei nimeitaja kama unavyoijua hata wewe mwenyewe ni ya kina nani
PIA MKUU BIASHARA SIO UGOMVI huyu kashauriwa sana asiingie kichwa kichwa watu wanauziwa coke za bomba zinasagwa na kuaminishwa ni vumbi la dhahabu
nimekushauri njoo tulime maana hilo povu linalokutoka kubwa ANGEENDA KARIAKOO NINGEJIBU HAYO AU HATA ANGEREJESHA RESEACH ALIYOFANYA
BILA HIVO NAKUONA MJINGA FULANI ANAYETAFUTA UJIKO MITANDAONI badilika usiishi kwa kuropoka mkuu
Naijua Seamic kunduchi kuliko pesa, huko ndo chaka mnalopeleka kuwaaminishia watu kwa results zao, yani mnapiga change kota mnapeleka dhahabu real kule, mnafanya essay testing then majibu ya purity yanatoka mnaenda kumaliza kazi.... Nachokwambia ninajua mnyororo wote wa hiyo kazi zenu...seamic unaijua vizuri mkuu? upo bado mashimoni hujui wapi unapima dhahabu mpaka leo mkuu
Uliza yote ujibiwe Na Uzi huu utakuwa msaada ili mpunguze kuibia watu...seamic unaijua vizuri mkuu? upo bado mashimoni hujui wapi unapima dhahabu mpaka leo mkuu
Labda fyi, Mimi sijakaa Shimoni, nimefanya kazi mikoa yenye migodi, so mazingira nayajua.
Pili, SIJAWAHI TAPELIWA, ila nimeshuhudia wadau wakitapeli Na kutapeliwa kwa ukaribu.
LA mwisho, hujajibu hoja ya bei nilokuuliza, lakini muhimu hujasema KAMA NYIE MNAUZA, UNAUZA KAMA KAMPUNI AU INDIVIDUAL, NA MPO WAPI KAMPUNI YENU INAITWAJE? PIA UNAWEZA ELEZA KWANINI UMEMDIRECT AENDE KKOO KUPATA INFO? SINCE WEWE MWENYEWE UNAUZA NA HADI UNAUZA UNAJUA VIZURI? KWANINI USIMPE MUONGOZO WEWE?
Uliza yote ujibiwe Na Uzi huu utakuwa msaada ili mpunguze kuibia watu...
nimependa majibizano yenu, nimejifunza mengi kwa kweli. (nimeyafatilia mwanzo hadi mwisho)HUJASHUHUDIA BALI UMESHIRIKI MKUU BE SPECIFIC maana naamini ungeshuhudia ....