shukran mkuuPharmacy.., kwa mtaji wako wa 3m unaweza kumuajiri pharmacist, kununua bidhaa na requirements zote na bado ukapata faida ? (au ni kipi ambacho kilikufanya uwaze unaweza kuanzisha hili duka), kwa hio pesa ?
Partnership; sio lazima uwekeze mtaji wa pesa unaweza kuwekeza skills au ujuzi fulani.., kwa pesa ya 3M partnership na wabongo sio watu wazuri bora tu ufanye yako mwenyewe kile unachokijua, hizi partnership unaweza kununua ugomvi au kuharibu urafiki uliokuwepo.., watu sio watu tena...
Pharmacy.., kwa mtaji wako wa 3m unaweza kumuajiri pharmacist, kununua bidhaa na requirements zote na bado ukapata faida ? (au ni kipi ambacho kilikufanya uwaze unaweza kuanzisha hili duka), kwa hio pesa ?
Partnership; sio lazima uwekeze mtaji wa pesa unaweza kuwekeza skills au ujuzi fulani.., kwa pesa ya 3M partnership na wabongo sio watu wazuri bora tu ufanye yako mwenyewe kile unachokijua, hizi partnership unaweza kununua ugomvi au kuharibu urafiki uliokuwepo.., watu sio watu tena...
sorry...hv pharmacy na duka la dawa za binadamu ni vitu viwili tofauti?
Soma hapo kuna tofauti ya maduka ya dawa muhimu na pharmacy.., maduka ya dawa muhimu waliweka ili yasaidie watu kwenye sehemu za vijiji n.k. kuwapelekea huduma.., hata nurse anaweza kuwa mwangalizi wa duka lako.., tofauti na pharmacy unahitaji pharmacists
cheers,,,japo mm pia naweza kuwa nashinda dukan kwa sku za kwanza kwanza ili kujua mwenendo wa biasharaBiashara ulizonuia kufanya zote ni nzuri kwa maana hakuna mtu ambaye anayeweza kuahirisha chakula au dawa hususan chakula chenyewe kikiwa mahindi na maharage
Mahindi na Maharage bei zake haziko stable huwa zina flactuate according to season inabidi uwe muangalifu kujua ni wakati gani mzuri kwa Manunuzi
Pharmacy iko vizuri ila inahitaji capital kubwa zaidi, ukitilia maanani uwezekano wa Partnership bado waTanzania wengi tunaogopana
The best option kwako ni kuanza na Medical Store ambayo unaweza muajiri hata Nurse ukapata vibali vyote bila shida na utakuwa una gain experience kuelekea Pharmacy. Changamoto iliyopo kwenye Medical Store ni Wauzaji wengi huwa wanajua ni dawa gani zinahitajika ktk kipindi fulani cha mwaka hivyo huja na stock zao kwenye mikoba akija mteja anamuuzia za kwake, za kwako zinaendelea kubaki kwenye shelves
point taken mkuu1. Unga wa sembe na maharage. Hii sema fungua duka la kuuza mazao. “Bonge moja la biashara”. Hii utakuwa na unga wa sembe,maharage ya aina hata 3. Mchele wa aina hata 2. Mahindi,dagaa aina zote hii utafanya biashara sana. Hii fungua huko Tandika huko changanyikeni. Ila mtaji huo ni mdogo,angalau kwa uchache isipungue milioni 15.
2. Pharmacy-bonge moja la biashara. Hii biashara inakuwa nzuri zaidi wewe mwenyewe uwe na hicho cheti cha u-pharmacia au cha udoctor,au ndugu yako wa karibu ili utumie cheti chake kufungulia hilo duka. Mtaji kiwango cha chini kuanzia milioni 20.
3. Partnership-hili jinamizi liondoe kabisa kichwani mwako. Kwa Tanzania hii utapoteza hata kidogo ulichonacho.
A. Kuhusu kufungwa kwa maduka sehemu nyingi,hili kwa sasa liko kila kona ya nchi. Ni kwa sbb ya TRA. Kama nchi nafikiri ni kipindi cha mpito fulani hivi tunapitia,naamini kitapita. Wengi wafanyabiashara tunapitia hiki kigumu kwa sasa. Hali ni mbaya kwa wafanyabiashara.
B. Ushindani wa kibiashara na hao akina Mo mbona umeenda mbali sana? Una mtaji huo halafu unawafukiria akina Mo huko?. Fungua biashara,anza kama nilivyokuambia pale juu.
C. Mbali na TRA kuna vibali Leseni manispaa,kibari cha TFDA(mamlaka ya chakula na dawa). Hapo ni ktk biashara zote 2.
D. Huo mtaji tu kwa dar ni hela ya kulipia frem tu kwa mwaka hapo
Anataka duka la dawa muhimu na sio phamacyPharmacy.., kwa mtaji wako wa 3m unaweza kumuajiri pharmacist, kununua bidhaa na requirements zote na bado ukapata faida ? (au ni kipi ambacho kilikufanya uwaze unaweza kuanzisha hili duka), kwa hio pesa ?
Partnership; sio lazima uwekeze mtaji wa pesa unaweza kuwekeza skills au ujuzi fulani.., kwa pesa ya 3M partnership na wabongo sio watu wazuri bora tu ufanye yako mwenyewe kile unachokijua, hizi partnership unaweza kununua ugomvi au kuharibu urafiki uliokuwepo.., watu sio watu tena...
kwanini mkuu?kila nkisoma comments zilizomo humu kwny huu uzi wangu nasikitika sana.
Anyway ngoja niishie hapo.
Sent from my SM-J320F using Tapatalk