Biashara ya ulezi

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
3,448
Reaction score
6,211
Natafuta soko la ulezi ninagunia za kutosha naomba wanunuzi mniambie mnachukua kwa bei gani nmeutoa sumbawanga
 
Natafuta soko la ulezi ninagunia za kutosha naomba wanunuzi mniambie mnachukua kwa bei gani nmeutoa sumbawanga
Kwani we ulichukua bure huko Sumbawanga kiasi cha kumuuliza mnunuaji bei? na umesafirishaje mzigo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…