Biashara ya Ukahaba: Serikali inapoteza Mapato mengi


K.u.t.o.m.b.w.a yeye alafu sirikali ichukue hela!!..duh itakuwa laana.
 
yani mijitu imekaa inajadili upuuzi...haya baada ya hapo mada zenu zile za uchawi,siasa za nazi,porojo na umbea.....hivi nyie hamna watoto wa kike,au dada au ndugu yeyote wa jinsia hiyo,ufisadi siyo kuiba "vijisenti" vya mali ya uma tu,hata kujipumbaza wakati akili mnazo,acheni hizo!
 


Mie nafikiria kwamba kama unaona ni biashara nzuri ya kuingiza mapato kwa hao kina dada na serikali basi washauri na dada zako au wanao na ndugu zako wengine wajiunge pie katika hii biashara. Itasaidia sana kuongeza mapato kwenye ukoo wenu.
 
Na isemwe tu kama pombe na sigara kwamba" haiuzwi kwa wenye umri chini ya miaka kumi na nane, Au kuzidisha ni hatari kwa afya yako!!!
 
Andika proposal mzazi hilo wazo n xuri sema kibongo bongo tunajistukia. Ila kabla serikal kuridhia lazima kitengo maalum cha afya kianzishwe ili kidil Na Hawa makahaba kama kuwapa counseling ya safe sex Na kuwapatia condom
 
Biashara ya Ukahaba: Serikali inapoteza Mapato mengi
Nakubaliana na wewe 100%..
Hapo kuna mengi mazuri yaweza saidia pande zote mbili..
  • Usalama kwa kina dada poa
  • Kuwa na sehemu maalum ya kufanyia hii biashara
  • Afya kwa kina kina dada itakuwa rahisi kuwahudimia
  • Usalama kwa wateja na privacy itaongezeka
  • Kodi kwa serikali au manispaa itakusanywa
  • Ajira kwa dada zetu itakuwa ya kuaminika na kudumu
  • Kutapunguza uwingi wa guest houses mitaani kama sehemu maalum itatengwa
  • Tukumbuke hawa kina dada ni wadogo zetu wajukuu zetu mama za watu na mashangazi..Lazima nao waheshimiwe hata kama hii biashara sio kipenzi cha wengi..
 

Nadhani wangeingizwa hadi kwenye mafao ya uzeeni,bima ya afya and the.like
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…