mudy92 JF-Expert Member Feb 19, 2014 669 520 Sep 24, 2015 #1 Wasalam, Nataka Kuanzisha hii biashara huku mtaaani ila Naomba kujua Mawazo yenu na wapi nitapata hii bidhaa kwa urahisi na bei ya Chini UGORO (MKALI)
Wasalam, Nataka Kuanzisha hii biashara huku mtaaani ila Naomba kujua Mawazo yenu na wapi nitapata hii bidhaa kwa urahisi na bei ya Chini UGORO (MKALI)
Mbilimbi Mbovu Senior Member May 25, 2015 185 119 Sep 25, 2015 #3 Waulize Wamasai karibu nawe, wengi ni watumiaji...
Sirdirashy JF-Expert Member Jan 26, 2014 3,223 2,951 Sep 26, 2015 #5 Daaah yaan unataka kuongeza kuua wenzakoo
cheguevara JF-Expert Member Apr 30, 2012 1,348 649 Apr 26, 2017 #6 mudy92 said: Wasalam, Nataka Kuanzisha hii biashara huku mtaaani ila Naomba kujua Mawazo yenu na wapi nitapata hii bidhaa kwa urahisi na bei ya Chini UGORO (MKALI) Click to expand... Ni pm ninao
mudy92 said: Wasalam, Nataka Kuanzisha hii biashara huku mtaaani ila Naomba kujua Mawazo yenu na wapi nitapata hii bidhaa kwa urahisi na bei ya Chini UGORO (MKALI) Click to expand... Ni pm ninao