Elisha Ray :so far i believe every creature it starts frmheaven so do you.... thanks nwyhe is a normal human beingcreated in Heaven...
Ahhhgrrrrrr...sasa Mc Tilly Chizenga....alimchukulia kuwaalimuuliwa au alimmegea tu ?ila nasisi tumepata faida ya kujua siri zao pengineilipangwa tuu iwe hivyomajimoto ni mchawi wadaraja la juu kabisa kwa mujibu ya maelezo yake,kama ni hotel huyu ni nyotatano ktk uchawi,NAHISI mkuu wa wachawi alimchukulia mkewe akakasirika na kuamuakutoboa siri za wachawi hapa!lol!
baadaye majimoto kwa mujibu wa posts zake akawa kama kaasi upande wa wachawi nakuamua kuja kwa Mungu lakini cha ajabu akawa bado anaenda kuchungulia vikao vyawachawi,kifupi majimoto a.k.a mbayuwayu hajajipambanua mpaka sasa yuko upandegani,kwa shetani au kwa Mungu,huyu jamaa ahera hayupo dunianihaonekani!
Mikoa saba nchini Tanzania ndiyo tishio kwa kuwa na nguvu kubwa za uchawi
1. Tanga ndio kinara
2. Lindi unafuatilia
3. Dar es Salaam
4. Mtwara
5. Tabora
6. Kigoma
7. Mwanza
Mikoa yenye wachawi wengi, kwa maana kwamba karibu kila kaya kuna mchawi
1. Sumbawanga (Rukwa) ndio kinara
2. Ruvuma inafuatialia
3. Mbeya
4. Singida
Mikoa ambayo wananchi wake ndio wateja wakuu wa wachawi
1. Kilimanjaro inaongoza
2. Morogoro inafuatilia
3. Kagera
Wateja wengine wa wachawi
1. Wafanyabiashara
2. Wasanii
3. Kina mama wa nyumbani
4. Wanafunzi wa shule za sekondari hasa wa kidato cha pili.
Sasa hivi zipo shule kabisa za kufundisha uchawi nchini Tanzania, Shule moja ipo Temeke masomo yake huchukua miaka saba hadi unahitimu.
Ukimaliza Temeke, unaweza kujiunga na elimu ya juu katika fani ya uchawi, chuo kipo Tanga hapo wanatoa digrii ya kwanza ya uchawi kwa miaka mitano.
Wanatoa pia digrii ya pili ya elimu ya ulozi ambapo utakaa darasani kwa miaka mingine mitano.
Master digrii ya ulozi, bado hapa nchini hakuna chuo, inapidi uende Mombasa nchini Kenya ndipo kilipo chuo kikuu cha elimu ya ulozi.
Very good Issue, for more views tafuta Vitabu vifuatavyo: Dangerous Prayers Part 1,2,3,4. na sara kuna
part 5 na 6
Kaza moyo kwelikweli utaposoma vitabu hivyo, naamini ukishatoka pale.. wewe ni BINGWA .
Mkuu, Soft copy zake ninazo za kumwaga. Lakini zinaitwa Dangerous Prayers (zingatia hapo Red hapo)Hivyo vitabu vinapatikana wapi mkuu? kama kuna soft copy mwaga humu ndani
Mkuu, Soft copy zake ninazo za kumwaga. Lakini zinaitwa Dangerous Prayers (zingatia hapo Red hapo)
kuna kosa tumeshafanyamahali fulani, tukawagaia watu Pamphlet Page mbili-mbili tu. wakazisimamia usiku wa manane kwa muda wa siku Nane. kweli waliwaburuza wale vigagula hadi vingine vikafa kabisa!
Sasa. illtakiwa ndio iwe maisha yao ya kila siku (Life styles) maisha ya maombi, ukijisahau tu ndugu; umemchokoza Joka shimoni mwake, na wewe una kiwembe tu mkononi! unategemea nini baba? ibilisi (wachawi) ana hasira kushinda unavyofikiria.
Lakini kama uko fiti wewe mwenyewe, ntakutumia volume 1 kwanza. ujipime ubavu