T TINDIX Member Joined Jun 4, 2015 Posts 26 Reaction score 7 Sep 21, 2016 #1 Jamani nilikuwa naomba kujua nchi za jirani na tz ambazo biashara ya ubuyu inalipa/ inatoka. Ninauza ubuyu mzuuuuri/mtam ishu ni soko! Naomba mnisaidie
Jamani nilikuwa naomba kujua nchi za jirani na tz ambazo biashara ya ubuyu inalipa/ inatoka. Ninauza ubuyu mzuuuuri/mtam ishu ni soko! Naomba mnisaidie