encyclopaedia Tanzaree
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 517
- 405
Unaweza ku share huo uzi hapa niupitie?Umenikumbusha uzi wa jamaa alivyokuja analia humu na hii biashara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepata wasiwasi ndo maana nimeleta hili suala humu maana naamini JF nitapata taarifa za uhakika kutoka kwa watu makiniKwa kifupi unaibiwa
Natamani nipitie hizo nyuzi nijifunzeMwambie achukue Ndugu yake ashirikiane nae
Jf kuna shuhuda za watu walivyopoteza pesa zao kuhangaikia hayo
Duh, ningeingia kichwa kichwa ningelizwa aisee😀😀Kwanza ukatoe sala ya shukrani kwa kuifahamu JF na kulileta huku
Huo mpango ni🚮🚮🚮
Eti mali zilizoachwa na wakoloni.😀😀
Huwa nikipata ukakasi kwenye inshu yoyote huwa naileta huku,maana me mwenyewe biashara ya hivyo ni mara ya kwanza kuisikia. Lengo la kuleta huku ni kubalance mizania halafu naifanye judgementMkoloni alitoka ulaya kuja kutafuta Mali Afrika halafu Mali alizotafuta kwakusafir kwenye majahaz tena kwakutumia pepo HALAFU AZIACHE
Shtuka mkuu labda Mali za kale kama magofu ya huko kilwa bagamoyo ndio Mali za kale unazozungumzia kama n hzo utapata
Umemaliza mkuuMkoloni alitoka ulaya kuja kutafuta Mali Afrika halafu Mali alizotafuta kwakusafir kwenye majahaz tena kwakutumia pepo HALAFU AZIACHE
Shtuka mkuu labda Mali za kale kama magofu ya huko kilwa bagamoyo ndio Mali za kale unazozungumzia kama n hzo utapata
Mkuu yeye alikwambia ushirikiane nae vp!? Usisikilize maoni ya Kila mmoja hapa ambayo yapo negative, utakua hujajifunza.... Ni Vizuri kujifunza then mwenyewe utachagua....Duh, ningeingia kichwa kichwa ningelizwa aisee
Asante sana kwa maelezo mazuri. Sababu ya kufikisha hapa ni kwamba nilitafta data hadi google kuhusiana na biashara hii nikakosa ndipo nikaamua kulileta JF ili kila mtu mwenye ufahamu anipe mwanga kidogo. Aliniambia tushirikiane naye kama partners kufanya hii biashara.Mkuu yeye alikwambia ushirikiane nae vp!? Usisikilize maoni ya Kila mmoja hapa ambayo yapo negative, utakua hujajifunza.... Ni Vizuri kujifunza then mwenyewe utachagua....
Ni kweli hivyo Vitu vipo, Ndo maana hata ukienda Wizara ya Maliasiri na Utalii, kwa kutambua uwepo wa hivyo Vitu kuna kitengo pale cha Mali Kale, ambapo Vibali hutolewa kwa watu wanaopenda kujishughurisha na shughuri hizo!
Watu wengi huingia Kichwa kichwa na kuibiwa au kutapeliwa ndo hao Wanakuja hapa kulialia au Ndugu zao kutoa ushuhuda wa Ndugu zao....
Mataperi ni wengi ndo wanaiendesha hii biashara....
Ila ni Vitu ambavyo vipo hata Serikali inatambua, kuvipata ndo Proccess, Ukitaka short cut umeibiwa...
Ukitegemea utajifunza kitu toka kwa Wadau hapa ambao wengi ni hear say.... You will get nothing!
Kama kweli unataka kujiingiza huko... Karibu......
Ila usiamini kile unachoambiwa, amini kile unachoona, usitumie Gharama kubwa kufanya mambo yaende, uache kazi ufanye Kazi.
Na kufanya hii biashara ni lazima uwe na kampuni?Naona mi ntakuwa ni mmojawapo ambao nipo interest sana na thread yako.Tunu za kale si tu magofu kama baadhi ya wachangiaji walivyoandika.Naamini ulichokusudia ni 'Antiques',yaani vitu vya kale kama sahani,furniture nk.wazungu waliviacha lakin,fuatilia pia ukanda wa pwani hasa Zanzibar,waarabu waliacha hizo tunu nyingi sana wakati wa mapinduzi,pia vizazi vyao bado vipo.
Mi nilikuwa nafuatilia kipindi kimoja na nikabahatika kuingia nyumba ya bi mmoja wa kiarabu,alikuwa na dressing mirror ya zamani sana,nilishindwa kusema kitu sababu nilikuwa mgeni lakini naweka ukaribu hata aniuzie.Mi nipo nje ya bongo,kama ukipata hizo tunu unaweza ukani pm hata kunitumia picha naminikupe mawazo.
Kuongezea tu ni kuwa, kuna wataalamu wa hizo tunu,inabidi kwanza waakikishe ni za kweli (genuine), pia waweze kuzi date(karne yake),pia country of origin inabidi ijulikane.kama waki weza ku 'Auntheticate' hizo tunu na kuzikubali, wanatoa bei.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi sipo bongo ivo sijui sheria zinazohusika na hili.Ila najua kuna pesa kwenye hii biasharana wabongo wengi bado hawajaichangamkia sababu masoko ya uhakika yapo nje ya nchi.Na kufanya hii biashara ni lazima uwe na kampuni?