Upo serious nikupe hints?Wakuu umofia kwenu.Kuna jamaa yangu anataka kunipatia mashine za kufyatulia tofari,sasa sijawai fikiria hata siku moja kuja kufanya hii biashara,najua humu kuna wazoefu wa hii biashara naombeni ushauri kuhusu hii biashara je!inalipa?changamoto zake,mbinu n.k karibuni sana.
Mkuu hii biashara sikuwaza kuifanya,lakini kama mtu katokea kukukabidhi vifaa hauwezi kukataa kwa kufanya hivyo ni kuifukuza riziki.Asante kwa ushauri naweza kuunganisha hapohapo biashara mbili.Shukrani.Tuna tabia ya wote kukimbilia kwenye biashara fulani bila ya kuwa na wazo mbadala
Mifano michache
Boda boda
Car wash
Hizo mashine za tofali
Boutique
Saluni nk nk
Nakushauri fungua duka la vipuri vya hizo mashine utauza sana
Mkuu nipo na nmekupata sana.Sasa inshu mimi ni mfanyakazi wa serikali alafu serikali yenyewe hii unaweza tumbuliwa huku biashara ikiwa inasuasua ukaua njaa familia.Nafanyaje hapo?Mwaga material Mkuu.1.Tafuta eneo ambako maujenzi yanaendelea,
2.Kuwa na Mashine ya umeme na ya mkono (Bambam).
3.Jenga kaofisi kadogo hapo site kwa ajili ya Wateja
4.Tafuta wapigaji wazuri wa tofali na waaminifu.
5.Hakikisha eneo lina Maji ya kutosha ,kwa ajili ya umwagiliaji wa tofali.
6.Anza na angalau na Mtaji wa mifuko 100 ya cement.
7.Simamia upigaji na umwagiliaji Maji tofali wewe mwenyewe
8.Tofali zimwagiliwe kwa siku tatu mfululizo asubuhi na jioni.
9.Wakati huo tafuta mafundi ujenzi ambao unawahakikishia kamisheni pindi waletapo mteja,ambao ni matajiri wanaowajengea.
10.Kua na Daftari la mauzo ili kujua umeuza na ni kiasi gani unatakiwa kuongeza mzigo site.
11.Usiwaamini wafanyakazi ni rahisi kukuibia cement na pia kuchanganya mchanga mwingi
na kuweka cement kidogo ili wakuibie,na mwisho tofali kuwa mbovu (buyu),na ukapoteza Wateja ambao hutaweza kuwarudisha tena.
Hebu pata hiyo kwanza.Halafu nijulishe kama bado upo nikupe ratio ya uchanganyaji.Naogopa kuendelea kumwaga material wakati sina uhakika kama upo
Tupo pamoja asee mi nishanunua mashine ya mkono na Vibao kama miatano hivi eneo nishapata. (siri) sasa na subiri mchangnao wa uchanganyaji mchangu babuWakuu umofia kwenu.Kuna jamaa yangu anataka kunipatia mashine za kufyatulia tofari,sasa sijawai fikiria hata siku moja kuja kufanya hii biashara,najua humu kuna wazoefu wa hii biashara naombeni ushauri kuhusu hii biashara je!inalipa?changamoto zake,mbinu n.k karibuni sana.
1.Tafuta eneo ambako maujenzi yanaendelea,
2.Kuwa na Mashine ya umeme na ya mkono (Bambam).
3.Jenga kaofisi kadogo hapo site kwa ajili ya Wateja
4.Tafuta wapigaji wazuri wa tofali na waaminifu.
5.Hakikisha eneo lina Maji ya kutosha ,kwa ajili ya umwagiliaji wa tofali.
6.Anza na angalau na Mtaji wa mifuko 100 ya cement.
7.Simamia upigaji na umwagiliaji Maji tofali wewe mwenyewe
8.Tofali zimwagiliwe kwa siku tatu mfululizo asubuhi na jioni.
9.Wakati huo tafuta mafundi ujenzi ambao unawahakikishia kamisheni pindi waletapo mteja,ambao ni matajiri wanaowajengea.
10.Kua na Daftari la mauzo ili kujua umeuza na ni kiasi gani unatakiwa kuongeza mzigo site.
11.Usiwaamini wafanyakazi ni rahisi kukuibia cement na pia kuchanganya mchanga mwingi na kuweka cement kidogo ili wakuibie,na mwisho tofali kuwa mbovu (buyu),na ukapoteza Wateja ambao hutaweza kuwarudisha tena.
Hebu pata hiyo kwanza.Halafu nijulishe kama bado upo nikupe ratio ya uchanganyaji.Naogopa kuendelea kumwaga material wakati sina uhakika kama upo
350,000 Gerezani,kkooBabu kadude ulinunua sh ngapi ,wapi??
Tupo pamoja asee mi nishanunua mashine ya mkono na Vibao kama miatano hivi eneo nishapata. (siri) sasa na subiri mchangnao wa uchanganyaji mchangu babu
Tupo pamoja asee mi nishanunua mashine ya mkono na Vibao kama miatano hivi eneo nishapata. (siri) sasa nasubiri mchanganuo wa uchanganyaji mchangu mkuu mwaga madini. Huyu msukuma kabana ofisini
Aisee safi sana//Nilikuwa napita na kutafuta the same issue.1.Tafuta eneo ambako maujenzi yanaendelea,
2.Kuwa na Mashine ya umeme na ya mkono (Bambam).
3.Jenga kaofisi kadogo hapo site kwa ajili ya Wateja
4.Tafuta wapigaji wazuri wa tofali na waaminifu.
5.Hakikisha eneo lina Maji ya kutosha ,kwa ajili ya umwagiliaji wa tofali.
6.Anza na angalau na Mtaji wa mifuko 100 ya cement.
7.Simamia upigaji na umwagiliaji Maji tofali wewe mwenyewe
8.Tofali zimwagiliwe kwa siku tatu mfululizo asubuhi na jioni.
9.Wakati huo tafuta mafundi ujenzi ambao unawahakikishia kamisheni pindi waletapo mteja,ambao ni matajiri wanaowajengea.
10.Kua na Daftari la mauzo ili kujua umeuza na ni kiasi gani unatakiwa kuongeza mzigo site.
11.Usiwaamini wafanyakazi ni rahisi kukuibia cement na pia kuchanganya mchanga mwingi na kuweka cement kidogo ili wakuibie,na mwisho tofali kuwa mbovu (buyu),na ukapoteza Wateja ambao hutaweza kuwarudisha tena.
Hebu pata hiyo kwanza.Halafu nijulishe kama bado upo nikupe ratio ya uchanganyaji.Naogopa kuendelea kumwaga material wakati sina uhakika kama upo
Miaka mitano sasa..tupe mrejesho wa Biashara hii. Mafanikio na changamoto zakeWakuu umofia kwenu.Kuna jamaa yangu anataka kunipatia mashine za kufyatulia tofari,sasa sijawai fikiria hata siku moja kuja kufanya hii biashara,najua humu kuna wazoefu wa hii biashara naombeni ushauri kuhusu hii biashara je!inalipa?changamoto zake,mbinu n.k karibuni sana.