Kiuhalisia ni vigumu kushauri pasipo kujua "chanzo cha tatizo" hiyo hasara imetokana na nini? Unakosea ktk kufanya miamala, makato yasiyo ya lazima? Gharama za uenseshaji? Unakosea ktk kurudisha chenji/kupokea ama ni nini? Nadhani tuanzie hapo, mind you, hakuna biashara isiyo na changamoto hata siku 1 japokuwa ukubwa wa changamoto hutofautiana!Huu ni mwezi wa pili tangu nimefungua biashara yangu ya Tigopesa. Niliamua kusimamia mwenyewe kwa muda wa siku 20 ili kuzijua changamoto ndogo ndogo. Hatimaye nimempata mtu wa kusimamia (kumuajiri) na ameanza rasmi kazi tar 04/05. Nimekuwa na desturi ya kumtembelea majira ya usiku anavyofunga ofisi na huwa nafanya naye hesabu na ikiwa sahihi namruhusu aende.
Leo tar 06/5 nikiwa nafanya naye hesabu nimegunduaTsh 127,950/= haionekani. Imekuwa hasara ikiwa mtu niliyemuweka ana siku tatu tu. Naanza kuona pesa yangu itapotea bure.
Niinusuru vipi pesa yangu? Nimeanza kufikiri niuze laini zote na pamoja na banda halafu pesa itakayopatikana niongeze na mtaji uliobaki nikanunue mpunga Mbeya kwani msimu wa mavuno unakaribia.
Vipi mtazamo wenu wakuu? Niendelee kukomaa na hii biashara au niikatae mapema kabla haijanifilisi?
Ikumbukwe siku 20 nilizokaa pale nilisababisha hasara ya Tsh 157,000/= mpaka nikaanza kufikiri Chuma ulete
SOLUTION...Mkuu hiyo biashara inahitaji umakinii mkubwa. Wewe uliumizwa sababu hukuwa na uzoefu nayo. Na huyo uliye muweka naye hana uzoefu nayo. Cha muhimu ni kumwambia aongeze umakini zaidi. Kumbuka kwenye hii biashara ukikosea ukatuma 20000/= badala ya 2000/= ni hasara tayari. Sasa akikosea miamala kama hiyo mitatu kwa siku ? Kikubwa ni umakini Mkuu. Na kwa kuwa ni mgeni kama umeweka hela nyingi ipunguze kwanza mpaka atakapo pata uzoefu kidogo ndio uongezee. Ni ushauri tu lakini.
Nakushukuru na nimekuelewa vzr mkuuBiashara ya fedha ni ngumu kiasi hasa mwanzoni lakini baada ya muda ukitulia vizuri hupotezi fedha kirahisi na utaifurahia mno tatizo ni pale utakapokuwa umekosa umakini kwa mfano
1 wanakuja wateja wengi kwa wakati mmoja unajidai kuwahudumia wote kwa pupa lazima upoteze hela tu kama ukikuta wengine ni wajanja na wana tabia ya kuiba maana watakuchanganya na lazima uingie mkenge kwa hivyo epuka kukimbizwa na wateja wako yaani fuata taratibu za kifedha yaani utulivu ili umhudumie kila mtu kwa utaratibu unaofaa nawe hutoiona hasara labda upate hasara ya sh 1,10 na ikizidi 500 kwa mwezi.
2 Epuka sana kuwapatia watu wengine biashara hii hadi uwe na uhakika kuwa no way watakuangusha, lakini mara nyingi hakikisha ni mkeo au wewe mwenyewe hapo mtafanikiwa kwa kuwa biashara ya fedha ina ushawishi mkubwa mno wa mtu kudokoa, imagine mtu anaishi mtaani anafukuzwa kodi unadhani atakubali kufukuzwa kizembe si heri alipe then anakwambia imepotea na kwa kuwa nawe ulipoteza si utaunga mkono tu? Ndiyo maana unashauriwa uwe wewe mwenyewe au la mkeo au ndugu yako wa karibu mno.
3 Mtu yeyote haruhusiwi kuingia katika jengo la biashara hii yaani usijaribu kumwamini mtu katika biashara hii cos mahesabu yake mara nyingi ni jioni sasa ukijisahau mtu yeyote anaweza kuchukua pesa afu ukipiga hesabu jioni huzioni na ukikumbuka unajikuta huamini kama rafiki yako ndiye aweza kukuibia kumbe ndiye. So usiruhusu kabisa mwongiliano wa kimaeneo eneo la kazi na usikubali mtu wa nje kujua taarifa zako za siri za Tigo Pesa, au M pesa na Airtel money.
4 FANYA KAZI KWA MKATABA
Vijana wengi unawaajiri lakini hawapo makini na kazi na matokeo yake ni loss kama hizo lakini ukimpa mkataba akaweka wadhamini wake wa kuaminika nakuambia kabisa hutapata loss za hivyo na hata akipata loss itakuwa ni juu yake wala si kwako. Maana loss huja kutokana na uzembe wala si chuma ulete. Kwa hivyo chini ya mkataba mtu atajua hii ni kazi na lazima niifanye kwa moyo wote maana anajua jela i mlangoni akileta mchezo na au atawatia matatani wadhamini wake.Hivyo hata awe ndugu kama humwelewi mwelewi mpige mkataba kama hataki achana nae maana mtu anayekubali mkataba maana yake atafanya kazi kwa mujibu wa mkataba wake na hivyo anakuwa amekubali kuwajibika inapotokea hasara kama hizo. Bila mkataba utaondoka barabarani labda pona yako uwapate waaminifu by nature ndo utapona.
Baada ya hayo nikushauri hivi
Watu wote wanaofanya biashara hii wamewahi kupata loss lakini walio makini loss yao haifiki hata 2/10 ya faida wanayoipata kwa mwezi, kwa mfano mtu kapata loss ya sh 500 kwa mwezi au 1000 afu kaingiza 500000 ataachaje biashara hii? Au labda umepata loss ya sh 20 elfu ila umepata faida laki 5 kazi ni kuboresha umakini ili ile ishirini irudi yenyewe na kuingia kwenye faida yako kuliko iwe loss once more kwa hivyo nakushauri usikate tamaa kabisa ongeza umakini tu nawe utafanikiwa.
Lakini kwa ushauri zaidi nitafute kwa namba 0625911797 endapo una halotel weka namba yako nikupigie nikushauri zaidi
Mungu akutangulie ufanikiwe katika biashara hiiNakushukuru na nimekuelewa vzr mkuu
Mkuuu niuzie mm banda na lainiHuu ni mwezi wa pili tangu nimefungua biashara yangu ya Tigopesa. Niliamua kusimamia mwenyewe kwa muda wa siku 20 ili kuzijua changamoto ndogo ndogo. Hatimaye nimempata mtu wa kusimamia (kumuajiri) na ameanza rasmi kazi tar 04/05. Nimekuwa na desturi ya kumtembelea majira ya usiku anavyofunga ofisi na huwa nafanya naye hesabu na ikiwa sahihi namruhusu aende.
Leo tar 06/5 nikiwa nafanya naye hesabu nimegunduaTsh 127,950/= haionekani. Imekuwa hasara ikiwa mtu niliyemuweka ana siku tatu tu. Naanza kuona pesa yangu itapotea bure.
Niinusuru vipi pesa yangu? Nimeanza kufikiri niuze laini zote na pamoja na banda halafu pesa itakayopatikana niongeze na mtaji uliobaki nikanunue mpunga Mbeya kwani msimu wa mavuno unakaribia.
Vipi mtazamo wenu wakuu? Niendelee kukomaa na hii biashara au niikatae mapema kabla haijanifilisi?
Ikumbukwe siku 20 nilizokaa pale nilisababisha hasara ya Tsh 157,000/= mpaka nikaanza kufikiri Chuma ulete
Kumbe usimlaumu mwajiriwa wako maana hata wewe ni mtu wa hasara tuHuu ni mwezi wa pili tangu nimefungua biashara yangu ya Tigopesa. Niliamua kusimamia mwenyewe kwa muda wa siku 20 ili kuzijua changamoto ndogo ndogo. Hatimaye nimempata mtu wa kusimamia (kumuajiri) na ameanza rasmi kazi tar 04/05. Nimekuwa na desturi ya kumtembelea majira ya usiku anavyofunga ofisi na huwa nafanya naye hesabu na ikiwa sahihi namruhusu aende.
Leo tar 06/5 nikiwa nafanya naye hesabu nimegunduaTsh 127,950/= haionekani. Imekuwa hasara ikiwa mtu niliyemuweka ana siku tatu tu. Naanza kuona pesa yangu itapotea bure.
Niinusuru vipi pesa yangu? Nimeanza kufikiri niuze laini zote na pamoja na banda halafu pesa itakayopatikana niongeze na mtaji uliobaki nikanunue mpunga Mbeya kwani msimu wa mavuno unakaribia.
Vipi mtazamo wenu wakuu? Niendelee kukomaa na hii biashara au niikatae mapema kabla haijanifilisi?
Ikumbukwe siku 20 nilizokaa pale nilisababisha hasara ya Tsh 157,000/= mpaka nikaanza kufikiri Chuma ulete
Funga fasta ukanunue mpunga mkuuHuu ni mwezi wa pili tangu nimefungua biashara yangu ya Tigopesa. Niliamua kusimamia mwenyewe kwa muda wa siku 20 ili kuzijua changamoto ndogo ndogo. Hatimaye nimempata mtu wa kusimamia (kumuajiri) na ameanza rasmi kazi tar 04/05. Nimekuwa na desturi ya kumtembelea majira ya usiku anavyofunga ofisi na huwa nafanya naye hesabu na ikiwa sahihi namruhusu aende.
Leo tar 06/5 nikiwa nafanya naye hesabu nimegunduaTsh 127,950/= haionekani. Imekuwa hasara ikiwa mtu niliyemuweka ana siku tatu tu. Naanza kuona pesa yangu itapotea bure.
Niinusuru vipi pesa yangu? Nimeanza kufikiri niuze laini zote na pamoja na banda halafu pesa itakayopatikana niongeze na mtaji uliobaki nikanunue mpunga Mbeya kwani msimu wa mavuno unakaribia.
Vipi mtazamo wenu wakuu? Niendelee kukomaa na hii biashara au niikatae mapema kabla haijanifilisi?
Ikumbukwe siku 20 nilizokaa pale nilisababisha hasara ya Tsh 157,000/= mpaka nikaanza kufikiri Chuma ulete
Daaah, mkuu hata hujajua jamaa yuko wapi, na kama banda linabebeka au halibebeki, ila wewe unataka banda...!!!!Mkuuu niuzie mm banda na laini
Kuna siku nilikua natoa 9,500/= mahali but nikapewa 95,000/=.Huu ni mwezi wa pili tangu nimefungua biashara yangu ya Tigopesa. Niliamua kusimamia mwenyewe kwa muda wa siku 20 ili kuzijua changamoto ndogo ndogo. Hatimaye nimempata mtu wa kusimamia (kumuajiri) na ameanza rasmi kazi tar 04/05. Nimekuwa na desturi ya kumtembelea majira ya usiku anavyofunga ofisi na huwa nafanya naye hesabu na ikiwa sahihi namruhusu aende.
Leo tar 06/5 nikiwa nafanya naye hesabu nimegunduaTsh 127,950/= haionekani. Imekuwa hasara ikiwa mtu niliyemuweka ana siku tatu tu. Naanza kuona pesa yangu itapotea bure.
Niinusuru vipi pesa yangu? Nimeanza kufikiri niuze laini zote na pamoja na banda halafu pesa itakayopatikana niongeze na mtaji uliobaki nikanunue mpunga Mbeya kwani msimu wa mavuno unakaribia.
Vipi mtazamo wenu wakuu? Niendelee kukomaa na hii biashara au niikatae mapema kabla haijanifilisi?
Ikumbukwe siku 20 nilizokaa pale nilisababisha hasara ya Tsh 157,000/= mpaka nikaanza kufikiri Chuma ulete
Kama kuna biashara zenye risk kubwa na faida kidogo ni hizo... Halafu hatuwaajiri wajuzi bali watafuta ajira huku wengine wakiwa pengine hata kwenye elimu zao walifeli somo la hesabu...Huu ni mwezi wa pili tangu nimefungua biashara yangu ya Tigopesa. Niliamua kusimamia mwenyewe kwa muda wa siku 20 ili kuzijua changamoto ndogo ndogo. Hatimaye nimempata mtu wa kusimamia (kumuajiri) na ameanza rasmi kazi tar 04/05. Nimekuwa na desturi ya kumtembelea majira ya usiku anavyofunga ofisi na huwa nafanya naye hesabu na ikiwa sahihi namruhusu aende.
Leo tar 06/5 nikiwa nafanya naye hesabu nimegunduaTsh 127,950/= haionekani. Imekuwa hasara ikiwa mtu niliyemuweka ana siku tatu tu. Naanza kuona pesa yangu itapotea bure.
Niinusuru vipi pesa yangu? Nimeanza kufikiri niuze laini zote na pamoja na banda halafu pesa itakayopatikana niongeze na mtaji uliobaki nikanunue mpunga Mbeya kwani msimu wa mavuno unakaribia.
Vipi mtazamo wenu wakuu? Niendelee kukomaa na hii biashara au niikatae mapema kabla haijanifilisi?
Ikumbukwe siku 20 nilizokaa pale nilisababisha hasara ya Tsh 157,000/= mpaka nikaanza kufikiri Chuma ulete
1.Nakubaliana na ww hii ni biashara yenye risk kuubwa.Kama kuna biashara zenye risk kubwa na faida kidogo ni hizo... Halafu hatuwaajiri wajuzi bali watafuta ajira huku wengine wakiwa pengine hata kwenye elimu zao walifeli somo la hesabu...
Hiyo miamala yenyewe kwenye makampuni husika kuna wafanyakazi sio waaminifu... Wanacheza na miamala yako mpaka wanakupiga
Ukikuta mtu anafanya hii biashara na hajapata loss hata moja jua
. kwanza ni mwajiriwa wa mojawapo ya hiyo mitandao au
. Ana ndugu ama rafiki huko au
. Ameajiri watu wajuzi makini na waaminifu
Nilipata kumsikiliza tajiri wa kichina alieanza biashara kwa changamoto nyingi lkn sasa ni tajiri mkubwa! Anasema ukiona unapata changamoto za ugumu wa biashara usiiache hiyo biashara, we zigeuze changamoto kuwa fursa! Nami nakushauri komaa hapo hapo pambana na changamoto.Huu ni mwezi wa pili tangu nimefungua biashara yangu ya Tigopesa. Niliamua kusimamia mwenyewe kwa muda wa siku 20 ili kuzijua changamoto ndogo ndogo. Hatimaye nimempata mtu wa kusimamia (kumuajiri) na ameanza rasmi kazi tar 04/05. Nimekuwa na desturi ya kumtembelea majira ya usiku anavyofunga ofisi na huwa nafanya naye hesabu na ikiwa sahihi namruhusu aende.