jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,866
- 10,163
Mwaka 2018 kuna dada alifunguaga ofisi kabisa mabibo na tin feki na leseni feki alafu akawa anafanya mpka sponsored mbwa yule.View attachment 2737846
Bei Ya China Bila Usafiri 60000 kila box (Sabufa Kubwa)
Makadirio Usafiri na tozo za serikali kwa meli 40000 kwa box (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo)
Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45
Kima cha chini kuagiza (Moq) 20
Gharama zangu ikiwa utahitaji nikuagizie ni 5000 kila box
*****************************************************************
Gharama kiujumla
Bei ya box 60000+Usafiri 40000+Mimi 5000=105000
105000x20=2,100,000 Gharama Kiujumla
Unaweza kulipa kwa hatua tatu
1.Bei 60000x20=1,200,000 hapa tunanunua na kuanza usafiri
2.Usafiri 40000x20=800,000 unalipia baada ya mzigo kufika (siku 30-45 tangu siku ya manunuzi)
3.Gharama zangu 5000x20=100,000 unalipia baada ya kupokea mzigo wako
******************************************************************************
Biashara Hii Bongo
Bei Kwa Jumla (box 5) kila box 125,000-130,000
Bei rejareja (box 1) 150,000-170,000
********************************************************************
Karibuni Nitaendelea kupost bidhaa zaidi kulingana na muitikio wenu
Salim Mhina
0713055107
Morogoro Mjini
mbona mchanganuo wangu unaeleweka kama unahitaji kuagiza mwenyewe ni bora zaidi kuna soko kama alibaba,globalsource,made in china na kuna wasafirisha kama silent ocean,ngoka,tosh,unique,mapembelo so hapo unaweza kujitusu mwenyewe.wewe ungempa hela zako akuagizie mzigo???
kwanini asitoe step za watu kuagiza au connection ya makampuni??
na yeye kaja humu kama dalali na wewe mpuuzi mwingine unajifanya unajua
malipo yanafanyika bank kwa discount zaidi ni ukichukua kuanzia box 500 ambapo itakuwa 55000 na utaweza kuwekewa brand yako (logo) kwenye sabufa na box lake (branding)Tunalipia kwa njia gani? Na vipi kama nataka kuagiza zaidi ya box 100, hakuna discount?
Unajua ni kwanini? Ni kwa sababu Tanzania katu katu hakuna mtu anayetangaza biashara yake hadharani na aonyeshe mahesabu yote na jinsi anavyopata faida nono iwapo ni biashara ya ukweli. Ukiona mtu anakuomba ufanye biashara flani kwani ina faida na akakupigia mahesabu yenye faida nono basi kimbia ufe.Mtanzania hata umwambie kila kitu na umshike mkono umpeleke bado atajisemea umemset, kwa mizigo midogo ambayo n chin ya USD 2k Mara nyingi transporter hujumlishia gharama za Kodi na usafiri pamoja.
Watanzania Biashara zao Mama ntilie, akijibadili sana boda boda au bajaji rejea mada za humu jf kwa watu wenye mitaji wanaotafuta wazi la biashara
Ondoeni utapeli wenu wa kizamani hapa. Shirikisheni ndugu zenu kama ina faida sana.Acha kuharibu hustling za mtu, hujawahi kufanya nae kazi unabaki kutisha watu tu. Kuwa na hekima hata kidogo. Go,try him.
Sent using Jamii Forums mobile app
Almost 57ml itahitajika. Hopefully mwisho wa huu mwaka naweza kukucheki ila nataka vitu viwe quality sio mafamba.malipo yanafanyika bank kwa discount zaidi ni ukichukua kuanzia box 500 ambapo itakuwa 55000 na utaweza kuwekewa brand yako (logo) kwenye sabufa na box lake (branding)
Tatizo lingine pia tunaojua HATUNA MITAJIUnajua ni kwanini? Ni kwa sababu Tanzania katu katu hakuna mtu anayetangaza biashara yake hadharani na aonyeshe mahesabu yote na jinsi anavyopata faida nono iwapo ni biashara ya ukweli. Ukiona mtu anakuomba ufanye biashara flani kwani ina faida na akakupigia mahesabu yenye faida nono basi kimbia ufe.
Wewe ni Mrundi?Mtanzania hata umwambie kila kitu na umshike mkono umpeleke bado atajisemea umemset, kwa mizigo midogo ambayo n chin ya USD 2k Mara nyingi transporter hujumlishia gharama za Kodi na usafiri pamoja.
Watanzania Biashara zao Mama ntilie, akijibadili sana boda boda au bajaji rejea mada za humu jf kwa watu wenye mitaji wanaotafuta wazi la biashara
Baki na fikira zako za kimasikini hivyo hivyo. Toka nenda hata silent ocean pale au gnm cargo au Kilimanjaro kafanye utafiti utaambiwa. Na pesa ya usafiri hulipwa mzigo ukifika warehouse ya msafirishaji hapa Tanzania.Ondoeni utapeli wenu wa kizamani hapa. Shirikisheni ndugu zenu kama ina faida sana.
Nimekupeperushia njiwa wako?Baki na fikira zako za kimasikini hivyo hivyo. Toka nenda hata silent ocean pale au gnm cargo au Kilimanjaro kafanye utafiti utaambiwa. Na pesa ya usafiri hulipwa mzigo ukifika warehouse ya msafirishaji hapa Tanzania.
Sasa wewe badala ya kujifunza umekadhania utapeli tu, jinga kubwa wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna uwezo huo, hata robo hunifikii. Baki na unachokijua.Nimekupeperushia njiwa wako?