Sijaona sehemu ya wazee wa TRA hapo.View attachment 2737846
Bei Ya China Bila Usafiri 60000 kila box (Sabufa Kubwa)
Makadirio Usafiri kwa meli 40000 kwa box (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo)
Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45
Kima cha chini kuagiza (Moq) 20
Gharama zangu ikiwa utahitaji nikuagizie ni 5000 kila box
*****************************************************************
Gharama kiujumla
Bei ya box 60000+Usafiri 40000+Mimi 5000=105000
105000x20=2,100,000 Gharama Kiujumla
Unaweza kulipa kwa hatua tatu
1.Bei 60000x20=1,200,000 hapa tunanunua na kuanza usafiri
2.Usafiri 40000x20=800,000 unalipia baada ya mzigo kufika (siku 30-45 tangu siku ya manunuzi)
3.Gharama zangu 5000x20=100,000 unalipia baada ya kupokea mzigo wako
******************************************************************************
Biashara Hii Bongo
Bei Kwa Jumla (box 5) kila box 125,000-130,000
Bei rejareja (box 1) 150,000-170,000
********************************************************************
Karibuni Nitaendelea kupost bidhaa zaidi kulingana na muitikio wenu
Salim Mhina
0713055107
Morogoro Mjini
[emoji419]Sijaona sehemu ya wazee wa TRA hapo.
Usijali TRA ni wajomba zake😅Sijaona sehemu ya wazee wa TRA hapo.
[emoji23][emoji23]mtu aji changanye wamle kichwaUsijali TRA ni wajomba zake[emoji28]
Zipo ndani ya pesa ya usafiri [emoji28]Sijaona sehemu ya wazee wa TRA hapo.
Hapo kwenye usafiri.Sijaona sehemu ya wazee wa TRA hapo.
wewe ungempa hela zako akuagizie mzigo???Mtanzania hata umwambie kila kitu na umshike mkono umpeleke bado atajisemea umemset, kwa mizigo midogo ambayo n chin ya USD 2k Mara nyingi transporter hujumlishia gharama za Kodi na usafiri pamoja.
Watanzania Biashara zao Mama ntilie, akijibadili sana boda boda au bajaji rejea mada za humu jf kwa watu wenye mitaji wanaotafuta wazi la biashara
mpe hela zako ndo utupe mrejesho wa uamnifu,, pengine wewe ndo sio mtu mweusiTatizo la watu wenye ngozi nyeusi ni kukosa uaminifu hata katika vitu vidogo. Na ndiyo maana tutaendelea kudharauliwa milele.
Lengo la mtoa mada ni zuri kweli. Ila wadau wengi hatuna imani. Nb; ila sikatai. Bado kuna ngozi nyeusi wachache ambao ni waaminifu.
Umeelewa lakini nilicho kiandika mwenye maelezo yangu? Kuna mahali nimesema mumpe mtoa mada hela zanu?mpe hela zako ndo utupe mrejesho wa uamnifu,, pengine wewe ndo sio mtu mweusi
Acha kuharibu hustling za mtu, hujawahi kufanya nae kazi unabaki kutisha watu tu. Kuwa na hekima hata kidogo. Go,try him.mpe hela zako ndo utupe mrejesho wa uamnifu,, pengine wewe ndo sio mtu mweusi