Biashara ya stationery

MUSA2021

Member
Joined
Jul 15, 2021
Posts
7
Reaction score
2
Nnastationery kubwa nauza bidhaa za ofisin na mashuleni,natoa copy na kuscan pia napiga paspoti na huduma za kibenki,ni huduma gani tano nyingine naweza kuwa natoa .
 
Ongeza M pesa, Tigo Pesa, Airtel money. Pia jiunge na Gipsa uweze kupewa tender za Serikali NB: lazima use na Mashine ya EFD
 
Applications mbalimbali kama waombaji vyuo na mikopo
 
Huduma ya stationery unaweza kwenda pamoja na baadhi ya bidhaa za duka la kawaida! Maana wateja wake wanafanana!
Hapo weka sukari, majani ya chai, body sprays, pampas, sabuni aina zote, etc
 
Huduma ya stationery unaweza kwenda pamoja na baadhi ya bidhaa za duka la kawaida! Maana wateja wake wanafanana!
Hapo weka sukari, majani ya chai, body sprays, pampas, sabuni aina zote, etc
Hii ni risky aisee. Wakija watu wa manispaa watataka kuiona leseni uliyokata ilikuruhusu kufanya biashara gani. Unaweza ukala fine ya bure jombaa
 
Hii ni risky aisee. Wakija watu wa manispaa watataka kuiona leseni uliyokata ilikuruhusu kufanya biashara gani. Unaweza ukala fine ya bure jombaa
Ahaa ili uchanganye leseni yake inatakiwa kuwaje?
 
Hapo unatakiwa uwe una leseni 2... ya biashara ya stationery na ya bidhaa za chakula
Duh! Sasa hapo Kodi si itakuwa kubwa Sana! Màana na TRA nako itabidi uwe na Kodi mbili, kwani haiwezekani ukaita mixed shop ili uwe na leseni moja?
 
Duh! Sasa hapo Kodi si itakuwa kubwa Sana! Màana na TRA nako itabidi uwe na Kodi mbili, kwani haiwezekani ukaita mixed shop ili uwe na leseni moja?
Ili Kupata leseni inatakiwa uSpecify ni biashara gani unataka kufungua. Watoa leseni wanataka wapate tozo yao ktk kila kitu. Ili kuepuka usumbufu ni bora ukate leseni ya duka na leseni ya stationery na if eneo lina nafasi nzuri basi unaweka mpangilio mzuri cos ninavyojua mimi ukiomba leseni ya biashara ya bidhaa za chakula pia kuna issue ya afisa afya wa kata kuja kufanya ukaguzi. Kimsingi kama uko maeneo ya mjini watakupata tu. .. kwenye ada za leseni na kodi ya TRA. Na wakikushtukia wenyewe kuna na fine juu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…