...Kaka unaitumia kama hizi simu za kawaida tu,ukishaichaji,unachomeka SIN card na kuanza kutumia,haina kuifunga,ni rahisi sana...kama huko nzega ndani ndani,tumia mitandao inanyofika masafa ya mbali....Voda,Halotel&Airtel nafikiri itakuwa sahii kwa bush...!