Kuna boda mmoja huwa namtumia sana
Aliniambia yeye Ana saloon ya kiume kodi analipa laki
Kaweka viti vinne
Kila kiti kimoja anataka kimuingizie elfu kumi kwa siku.....
Kwahiyo wafanyakazi wake piga ua lazima wampelekeee elfu 40 kila siku
Umeme,mishahara sijui na makorokoro mengine wanajitegemea
Yeye analipa kodi tu.