Edo Mashili
Member
- Apr 19, 2015
- 24
- 0
Naomba ndugu zangu mnisaidie mchanganuo wa saluni ya kiume ya kisasa zaidi,nina million 4 nataka nifungue saluni ya kisasa na yenye mvuto nisaidien wandugu...siku njema
swali la mwaka 2015 mpaka leo ??? duuuh sasa hili si ni kaburi wamefukua ?Naomba ndugu zangu mnisaidie mchanganuo wa saluni ya kiume ya kisasa zaidi,nina million 4 nataka nifungue saluni ya kisasa na yenye mvuto nisaidien wandugu...siku njema