Habarii wadauu natumaini mko poa.
Nimeandika kwa haraka ila nita edit baadae.
Hivi karibuni kuna mtu aliniulizaa kuhusu biashara ya pool table akaanza kunielezea ila kiukwelii nilikuwa sijuii kiundanii.
Ila ningependa kujua jinsi pool table inaweza fanya ukaishii kwa faida.
Bei? Bei ya pooltable zima.
Usajili wake? Mfano lazima uwe na leseni.
Faida kwa week?
Hasara zake.
Kama unajua kiundanii kabisaa nita shukuru.