Kupata pikipiki used ni kuwa na connections na bodaboda wengi maana wengi wao hufanya kwa mkataba na wakimaliza huziuza na kuchukua nyingine...pia wanajua jinsi wanavyozitunza ndivyo uwezekano wa kuziuza huongezeka.
Au nenda wacheck mafundi pikipiki maana wengi ni madalali wa hizo pikipiki.
Nb; usishawishike kununua chombo za wizi utaharibu future yako mazima,hiyo biashara hailipi japo huonekana nyepesi.