Rockefeller
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,235
- 2,360
pamoja Mkuu...karibuShukrani mkuu
Amepiga Picha yuko yukei๐๐๐๐,ila maelezo yako Mkuu yamejitosheleza namm nimejifunza kitu hasa hapo kwenye Pc uzidi,ngoja nitamchukulia mdogo wangu eneo hilo ulilotaja,SenkiyuUnatakiww uwe na kamera asa aina ya Canon,uwe na chumba pamoja na computer yenye photo editing software kama Adobe photoshop na Photo printer.Used Computer zinafaa bei zake karioakoo opp na police msimbazi zinaanzia Laki tatu.Printer ni laki tatu na nusu..utakuwa unaweza print pasport size na hizi za kawaida pamoja na kumpatia mteja kwenyr flash picha uzompiga.
chumba ambacho ni studio utakuwa na kitambaa cha kijani ambacho utakuwa una piga picha na kisha kuweka bakground ikaonyesha mtu amepiga picha yupo UK etc
Asante na vipi kuhusu mambo ya masoko/mzunguko wake Mkuu .pamoja Mkuu...karibu
masoko yapo mengi tu,na tena now days kamera hiyo hiyo unaweza fanya video shooting za birthday etc ,so ukaongeza kipato zaidii.Asante na vipi kuhusu mambo ya masoko/mzunguko wake Mkuu .
karibu mkuu.Amepiga Picha yuko yukei๐๐๐๐,ila maelezo yako Mkuu yamejitosheleza namm nimejifunza kitu hasa hapo kwenye Pc uzidi,ngoja nitamchukulia mdogo wangu eneo hilo ulilotaja,Senkiyu
Kuhusu hili suala ngoja nitoe neno kidogo. Suala la mzunguko wa fedha kwenye hiyo biashara tajwa hutegemeana na namna ya utafutaji wa wateja, area of specialty kwenye hii field na target customers wako. Na pia watendaji kazi lazima wawe vizuri kutokana na tough competition ya photography industry. Hivyo hayo yote hukusaidia kupata faida nzuri kwenye biasharaAsante na vipi kuhusu mambo ya masoko/mzunguko wake Mkuu .
Ahsante bossKuhusu hili suala ngoja nitoe neno kidogo. Suala la mzunguko wa fedha kwenye hiyo biashara tajwa hutegemeana na namna ya utafutaji wa wateja, area of specialty kwenye hii field na target customers wako. Na pia watendaji kazi lazima wawe vizuri kutokana na tough competition ya photography industry. Hivyo hayo yote hukusaidia kupata faida nzuri kwenye biashara
Shukrani zaidi bossmasoko yapo mengi tu,na tena now days kamera hiyo hiyo unaweza fanya video shooting za birthday etc ,so ukaongeza kipato zaidii.