M Mimi mstaarabu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2020 Posts 262 Reaction score 577 Jan 3, 2023 #1 Wakuu, Nataka kufanya biqshara hiyo pamoja na kujifunza na graphic designing je inalipa kwa Dar es Salaam? Nb: naomba kuelezewa kwa kirefu
Wakuu, Nataka kufanya biqshara hiyo pamoja na kujifunza na graphic designing je inalipa kwa Dar es Salaam? Nb: naomba kuelezewa kwa kirefu
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,402 Jan 3, 2023 #2 Photocopy pekee au ni full stationery?
T TEMBO WANGU JF-Expert Member Joined Feb 21, 2014 Posts 930 Reaction score 1,297 Jan 3, 2023 #3 kajifunze kutengeneza hizo photocopy, ni moja ya dili kubwa, maana wauzaji ni weng ila mafund wachache, ngoja nimalizie konyagi yangu hapa, maana naona naongea pumba
kajifunze kutengeneza hizo photocopy, ni moja ya dili kubwa, maana wauzaji ni weng ila mafund wachache, ngoja nimalizie konyagi yangu hapa, maana naona naongea pumba
M Mimi mstaarabu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2020 Posts 262 Reaction score 577 Jan 4, 2023 Thread starter #4 Shimba ya Buyenze said: Photocopy pekee au ni full stationery? Click to expand... Full stationery ambapo kuna maswala ya printing.
Shimba ya Buyenze said: Photocopy pekee au ni full stationery? Click to expand... Full stationery ambapo kuna maswala ya printing.
S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 10,098 Reaction score 8,205 Jan 4, 2023 #5 Inabidi utafute eneo ambalo utapata wateja kwa urahisi kama maeneo yenye Chuo, Shule n.k.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,449 Reaction score 829,819 Jan 4, 2023 #6 Mimi mstaarabu said: Wakuu, Nataka kufanya biqshara hiyo pamoja na kujifunza na graphic designing je inalipa kwa Dar es Salaam? Nb: naomba kuelezewa kwa kirefu Click to expand... Pata penye mzunguko wa hiyo huduma utapata hela
Mimi mstaarabu said: Wakuu, Nataka kufanya biqshara hiyo pamoja na kujifunza na graphic designing je inalipa kwa Dar es Salaam? Nb: naomba kuelezewa kwa kirefu Click to expand... Pata penye mzunguko wa hiyo huduma utapata hela
M Mimi mstaarabu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2020 Posts 262 Reaction score 577 Jan 4, 2023 Thread starter #7 Superb2014 said: Inabidi utafute eneo ambalo utapata wateja kwa urahisi kama maeneo yenye Chuo, Shule n.k. Click to expand... Wanafunzi wakifunga chuo je?
Superb2014 said: Inabidi utafute eneo ambalo utapata wateja kwa urahisi kama maeneo yenye Chuo, Shule n.k. Click to expand... Wanafunzi wakifunga chuo je?
S Superb2014 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 10,098 Reaction score 8,205 Jan 4, 2023 #8 Mimi mstaarabu said: Wanafunzi wakifunga chuo je? Click to expand... Utaendelea kuuza vitu vingine vya Stationery.
Mimi mstaarabu said: Wanafunzi wakifunga chuo je? Click to expand... Utaendelea kuuza vitu vingine vya Stationery.
M Mimi mstaarabu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2020 Posts 262 Reaction score 577 Jan 6, 2023 Thread starter #9 Jamani watu wako wapi?