MPSZX PAULO
Member
- Mar 12, 2020
- 40
- 36
Kabla ya vibali:2.ni ofisi gani napaswa kuanzia ili kupata kibali Cha kufanya biashara hiyo kihalali
1.ni mtaji kiasi gani kiwango Cha chini kabisa kinaweza anzisha biashara ya pembejeo
Ili kuanzisha biashara ya pembejeo za kilimo kihalali, utahitaji kupata vibali vifuatavyo:2.ni ofisi gani napaswa kuanzia ili kupata kibali Cha kufanya biashara hiyo kihalali
Gharama za kupata vibali hivi hutofautiana kulingana na aina ya biashara na ukubwa wake. Unaweza kuwasiliana na ofisi husika kwa maelezo zaidi kuhusu gharama na utaratibu wa malipo.3.gharama za kupata kibali ni kiasi gani na wapi napaswa kulipia
4.pia huwa nasikia kuna vyeti vya TPRI,TOSCI,TFRA utaratibu wa kutolewa upoje
TFRA - Tanzania Fertilizer Regulator Authority
- TPRI (Tanzania Pesticides Research Institute): Vyeti vya TPRI vinahitajika kwa dawa zote za kuulia wadudu na viatilifu vingine vya kilimo. Unaweza kuomba vyeti hivi kwa TPRI baada ya kukamilisha usajili wa bidhaa yako na kulipa ada ya usajili.
- TOSCI (Tanzania Official Seed Certification Institute): Vyeti vya TOSCI vinahitajika kwa mbegu zote za kilimo. Unaweza kuomba vyeti hivi kwa TOSCI baada ya kukamilisha ukaguzi wa shamba lako na mbegu zako na kulipa ada ya ukaguzi na usajili.
- TFRA (Tanzania Food and Drugs Authority): Vyeti vya TFRA vinahitajika kwa mbolea za viwandani na viuatilifu vinavyotumika kwenye mazao ya chakula. Unaweza kuomba vyeti hivi kwa TFRA baada ya kukamilisha usajili wa bidhaa yako na kulipa ada ya usajili.
Short course ni mda wa wiki 1 na unalipia gharama ni laki nne na mnafanya mitihani na ukifeli upati cheti unasubilia mafunzo ya mwaka mwingine wako siriasi sana awaitaji watu wazembe pale ila kiujumla kama uko vizuri unapass tu na mwaka huu wanabandika picha kwenye vyeti .Mara nyingi mafunzo ni kuanzia juni hadi SeptemberVp hivyo vyeti vya tpri nk havina short course na kama ipo ni wapi inatolewa msaada please!
Sawa ahsante 🙏Short course ni mda wa wiki 1 na unalipia gharama ni laki nne na mnafanya mitihani na ukifeli upati cheti unasubilia mafunzo ya mwaka mwingine wako siriasi sana awaitaji watu wazembe pale ila kiujumla kama uko vizuri unapass tu na mwaka huu wanabandika picha kwenye vyeti .Mara nyingi mafunzo ni kuanzia juni hadi September