Biashara ya nguo za mitumba

Cainan

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2017
Posts
485
Reaction score
580
Habarini za kazi wapendwa wote.
Kikubwa zaidi kilichonifanya niandike Uzi huu ni kuuliza kuhusiana na biashara ya nguo za mitumba (second handed clothes) kutoka nje ya nchi .
Ya kwamba utaratibu upoje na gharama za kuagiza hizo nguo inaweza ku cost kiasi gani , maana Huwa naonaga nguo zikifunguliwa kwenye Yale ma Belo.

Hivo mwenye kujua mchakato mzima mpaka mzigo unakuja bongo ikiwemo machimbo Yao au website zao anijulishe nimejikita Zaid kwa mda huu kufanya hii biashara
Asanteni wanajamvi nakarbisha ushauri
 
Nitafute kijana.. Unataka za kiume fisher!? Shati!? Suruali au za aina Gan!? Balo zinauzwa kW a gredi pia kwa kilo alaf kitu cha kuzingatia Sana lazima ni tekiniki z biashara. Kupat hasra dakika 0 tu Kama ukiwez kuwa pointa tu
 
inategemea na mkoa uliopo... ila kama nikuanza sikushauri uanze kukata beli ila anza kununua kwa wanaokata kwa bei ya jumla unapoanza kuzoea apo utakua tayari na idea maana utaelewa kutoka kwa hao wanaokata....kukata beli ni bahat nasibu hivyo uzoefu unahitajika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…