Hakuna kigezo mi nauza gasi pia kusanya mtaji wako mitungi midogo unanunua 39 complete halafu kuendelea kujaza ni 16 mtungi dogo nawe kuuza ni 20.
mikubwa comlete ni 95 ila kujaza ikiisha ni 42/3 nawe utauza 50 au 49 inategemea eneo! Lesen ni themanini, na fire extinguisher unakuwa nayo moja basi