Kwa wale wanaotaka kuwasiliana nami kuhusu mitumba wanaweza kuniandikia direct kupitia e-mail yangu.Mimi sipo Tz naishi Canada hivyo, kwa mwenye kutafuta mitumba ajue gharama za ununuzi, kusafirisha na ushuru kwa hapo Tz ni juu yake. Nachoweza kusaidia ni kuipata mitumba ya aina zote toka kwa wasambazaji (suppliers) wa hapa Canada na USA ambao wanataka volume kubwa ya uagizaji.