Biashara ya miamvuli DSM

Hammy Js

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2017
Posts
3,053
Reaction score
3,271
Habari wandugu
Naomba kuuliza bei na sehemu wanaponunua miamvuli,nylon coats(rain coats) kwa bei ya jumla nataka niongeze bidhaa dukani mana ni fursa hasa kipindi hiki cha mvua.
Napatikana DSM ubungo
Asanteni
 
Ukipata nishtue basi,
Mi nataka ya kutumia mwenyewe
 
Mimi niko Kibondo nauza kwa jumla na rejareja
 
Kigoma, rejareja 3500 Midogo, 4000-6000 mikubwa/size ya kati. Karibu uchukuwe mzigo
Kuna ile miamvuli flan hivi huwa ina vent (uwazi) kwa kati inayoruhusu upepo kupita bila kuezua mwamvuli,unaipata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…