Sili mchele wa kwenye vifungashio nakula kitu cha moro asili hadi shamba mchele unapotoka nalijuaKama hujui watu wengi wanaandaa vifungashio nembo wanaweka ni mchele wa mbeya,, kumbe unatoka Igunga,
Wadau wenzangu Wana jf, nauza Mchele mzuri ulionyooka grade 1 Tsh 1400 kwa kg 1na grade 2 tsh 1200kwa kg1, pia chenga mchele zipo tsh 500 kwa kg 1, pumba laini za kulishia mifugo zipo, gunia tsh 5000,kalibuni sana wateja popote mlipo napatkana Igunga Tabora namba za simu 0789235822View attachment 1559249
Mlaji wa mwisho kwani sasa hata 1200,anapata mchele safi anakula!! Bei ya mchele inapolingana na bei ya unga mlala hoi lazima akimbilie ubwabwa!!!Kama umejaa faida itakuja vp kwa mnyonge?