Habari Mkuu, Nina magunia sita ya alizeti. Nitayakamua wiki mbili zijazo. Nipo tayari kukuuzia mashudu yote yatakayopatikana baada ya kukamua siku hiyo Kwa tsh 150/= kwa kilo. Utachukua mzigo wako mashineni hapo hapo baada tu ya kukamua. Kama Upo tayari unipm, mzigo upo morogoro kiegea A