NORBERT MOSHI
Member
- Aug 26, 2018
- 7
- 3
Idea nzuri sana Mungu akutangulie upate mtu wa kukusupport kwenye wazo lako la biashara na kuwa biashara kubwa na tofauti sanaa.Habari wanandugu leo nimependa kushare na watu moja kati ya biashara zinazofanya poa hasa apa jijini dar es salam na hii ni biashara ya studio and makeup.
Watu wengi wanafungua studio za photoshoot and video shooting ila wanajikuta awakuzi kile wanachokifanya kwakuwa wanashindwa kujuwa ni namna gani unaweza ukamfanya mteja asiluke anapokuja ofisini.
Mimi ni photographer ninauzoefu wa kazi hii kwa muda usiopungu miaka 6 katika kufanya kwangu kazi nilikuja kujuwa jambo moja kuwa wateja wangu wengi ni wanawake na inapofikia wakati wa kufanya photoshoot analazimika kwenda saloon ili afanye makeup and then aje studio.
Hiyo ilinifanya niwaze kitu kinaitwa makeup & photo studio
Ambapo unakuwa na studio ambayo ipo full inafanya makeup pia inapiga na picha na urembo mdogomdogo wa wadada kama kucha kope na rangi.
Hii biashara kwa apa dar es salam inakimbiza sana apa mjini kutokana kwamba dada zetu sikuizi urembo, tiktok, snapchat na istagram ndio vitu wengi wanapendele akuwa navyo bize so iyo ni fulsa kwetu.
Mimi nipo ubungo natamani sana kufanya ili jambo ila nakosa saport tuu na wawekezaji katika hili
Kama kuna mdau atavutiwa na hili na yupo tayali kuwekezaapa anicheki au kama kuna mtu ana watu wanaoweza kuwekeza umu anicheki tufanye jambo kubwa zaidi call 0785428534
Kwa kuanzia ni kama 5000000 iyo ni pamoja na kulipia kodi ya flem na kukunua makeup box na vipodozi kwa kuanzia ila camera mm ninayo na baadhi ya vifaa vya studioKwa wastani mtaji unatakiwa shilingi ngapi kuwekeza kwa hilo wazo lako?
Asante ndugu mungu atutangulie katika iloIdea nzuri sana Mungu akutangulie upate mtu wa kukusupport kwenye wazo lako la biashara na kuwa biashara kubwa na tofauti sanaa.
Unaweza nipatia whatsapp namba yako tukazungumza zaidiHaya uje PM. Swala lako limeisha. Uje na maelezo ya mahitaji yako.
Karibu.
frem unataka iwe wapi? maeneo gani?Kwa kuanzia ni kama 5000000 iyo ni pamoja na kulipia kodi ya flem na kukunua makeup box na vipodozi kwa kuanzia ila camera mm ninayo na baadhi ya vifaa vya studio
kaka vipi mimi nimesoma nimeelewa mimi nilikua na wazo la kufunfungua duka la vifaa vya make up pekee unaweza kunisaidia namba yangu ni 065889950Habari wanandugu leo nimependa kushare na watu moja kati ya biashara zinazofanya poa hasa apa jijini dar es salam na hii ni biashara ya studio and makeup.
Watu wengi wanafungua studio za photoshoot and video shooting ila wanajikuta awakuzi kile wanachokifanya kwakuwa wanashindwa kujuwa ni namna gani unaweza ukamfanya mteja asiluke anapokuja ofisini.
Mimi ni photographer ninauzoefu wa kazi hii kwa muda usiopungu miaka 6 katika kufanya kwangu kazi nilikuja kujuwa jambo moja kuwa wateja wangu wengi ni wanawake na inapofikia wakati wa kufanya photoshoot analazimika kwenda saloon ili afanye makeup and then aje studio.
Hiyo ilinifanya niwaze kitu kinaitwa makeup & photo studio
Ambapo unakuwa na studio ambayo ipo full inafanya makeup pia inapiga na picha na urembo mdogomdogo wa wadada kama kucha kope na rangi.
Hii biashara kwa apa dar es salam inakimbiza sana apa mjini kutokana kwamba dada zetu sikuizi urembo, tiktok, snapchat na istagram ndio vitu wengi wanapendele akuwa navyo bize so iyo ni fulsa kwetu.
Mimi nipo ubungo natamani sana kufanya ili jambo ila nakosa saport tuu na wawekezaji katika hili
Kama kuna mdau atavutiwa na hili na yupo tayali kuwekezaapa anicheki au kama kuna mtu ana watu wanaoweza kuwekeza umu anicheki tufanye jambo kubwa zaidi call 0785428534
Njoo pm tujaribu kuyajengaHabari wanandugu leo nimependa kushare na watu moja kati ya biashara zinazofanya poa hasa apa jijini dar es salam na hii ni biashara ya studio and makeup.
Watu wengi wanafungua studio za photoshoot and video shooting ila wanajikuta awakuzi kile wanachokifanya kwakuwa wanashindwa kujuwa ni namna gani unaweza ukamfanya mteja asiluke anapokuja ofisini.
Mimi ni photographer ninauzoefu wa kazi hii kwa muda usiopungu miaka 6 katika kufanya kwangu kazi nilikuja kujuwa jambo moja kuwa wateja wangu wengi ni wanawake na inapofikia wakati wa kufanya photoshoot analazimika kwenda saloon ili afanye makeup and then aje studio.
Hiyo ilinifanya niwaze kitu kinaitwa makeup & photo studio
Ambapo unakuwa na studio ambayo ipo full inafanya makeup pia inapiga na picha na urembo mdogomdogo wa wadada kama kucha kope na rangi.
Hii biashara kwa apa dar es salam inakimbiza sana apa mjini kutokana kwamba dada zetu sikuizi urembo, tiktok, snapchat na istagram ndio vitu wengi wanapendele akuwa navyo bize so iyo ni fulsa kwetu.
Mimi nipo ubungo natamani sana kufanya ili jambo ila nakosa saport tuu na wawekezaji katika hili
Kama kuna mdau atavutiwa na hili na yupo tayali kuwekezaapa anicheki au kama kuna mtu ana watu wanaoweza kuwekeza umu anicheki tufanye jambo kubwa zaidi call 0785428534
Ndio but tunaweza kuzungumza tuu cos ni jambo ambalo linatakiwa lifanyikeDuh!kumbe toka February???
Namba yako haijatimia bosskaka vipi mimi nimesoma nimeelewa mimi nilikua na wazo la kufunfungua duka la vifaa vya make up pekee unaweza kunisaidia namba yangu ni 065889950
0658899501Namba yako haijatimia boss
Ina maana halijafanyika hadi leo?Ndio but tunaweza kuzungumza tuu cos ni jambo ambalo linatakiwa lifanyike