A love Member Joined May 17, 2021 Posts 93 Reaction score 119 Jun 24, 2021 #1 Habari zenu, kwa wale wafanyabiashara wa maharage, mnatumia nini kupima maharage mnapouza kwa wazaji wa rejareja?
Habari zenu, kwa wale wafanyabiashara wa maharage, mnatumia nini kupima maharage mnapouza kwa wazaji wa rejareja?
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 54,868 Reaction score 53,854 Jun 24, 2021 #2 Wareja reja kivipi, kilo zipo
A love Member Joined May 17, 2021 Posts 93 Reaction score 119 Jun 24, 2021 Thread starter #3 Mtoto halali na hela said: Wareja reja kivipi, kilo zipo Click to expand... Wakati wa kuuza ni mizani gani inayotumika kupima maharage
Mtoto halali na hela said: Wareja reja kivipi, kilo zipo Click to expand... Wakati wa kuuza ni mizani gani inayotumika kupima maharage
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,038 Reaction score 13,458 Jun 27, 2021 #4 A love said: Wakati wa kuuza ni mizani gani inayotumika kupima maharage Click to expand... Si mizani za kawaida au unamaanisha nini
A love said: Wakati wa kuuza ni mizani gani inayotumika kupima maharage Click to expand... Si mizani za kawaida au unamaanisha nini
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,531 Reaction score 18,727 Jun 27, 2021 #5 Mizani kama mizani A love said: Wakati wa kuuza ni mizani gani inayotumika kupima maharage Click to expand...
Mizani kama mizani A love said: Wakati wa kuuza ni mizani gani inayotumika kupima maharage Click to expand...
H Hudhaifa1 Member Joined Aug 6, 2023 Posts 33 Reaction score 55 Apr 12, 2025 #6 A love said: Wakati wa kuuza ni mizani gani inayotumika kupima maharage Click to expand... ππ Ila maswali mengine π haya ni mizani ya serikali ya magari makubwa
A love said: Wakati wa kuuza ni mizani gani inayotumika kupima maharage Click to expand... ππ Ila maswali mengine π haya ni mizani ya serikali ya magari makubwa