Jobless Graduate2021
Member
- Aug 15, 2021
- 49
- 45
Habari za Wakati huu Watanzania Wenzangu, naomba niende kwenye mada husika. Nina mtaji wa 200,000 nataka nianze biashara ya Magazeti Ya Kufungia bidhaa, naomba kujuzwa bei zake za jumla Dar Es Salaam Mimi nipo mkoa wa Njombe.
Natanguliza Shukrani zangu za Dhati kwenu.
Natanguliza Shukrani zangu za Dhati kwenu.