Najua tumekuwa na mijadala mingi ya Uchaguzi sasa nafikiri kubadili muelekeo kidogo...
Naomba mtu mwenye uzoefu wa uendeshaji wa magari madogo kama kiriku na Hiace (daladala) anipatie uzoefu wake kama ni biashara inayo faa kufanya (faida na hasara)
Angalizo:
Napendelea zaidi kupata maoni ya watu wanaofanya hii biashara na sio wale waliosikia kwa watu wengine
Nawakilisha