Mashao lole
JF-Expert Member
- Feb 23, 2016
- 484
- 490
Habari wakuu, nataka kuanza biashara ya mafuta ya alizeti na niko dar, sijawahi kuifanya wala sina ninacho jua kuhusu hii biashara.
Sasa naomba wanaoilewa, wanao Fanya, waliowahi kufanya hii biashara wanijuze, walioko singida pia karibuni. Kwa singida Lita tano bei gani? Lita ishirini bie gani? Kusafirisha hadi dar makadirio sh ngapi? Ni kipindi gani yanashuka bei na kipindi gani yanapanda!
Changamoto za hii biashara ni zipi na tahadhari gani napaswa kuchukua! Pia wanaomfahamu kuhusu upatikanaji wa masoko dar karibuni kwa ushauri. Asante.