U UHURU ONE New Member Joined Feb 13, 2023 Posts 2 Reaction score 2 May 18, 2023 #1 Habari wakuu nina mzigo wa maboga safi ya kienyeji takribani 500 yapo Mtwara Mjini nawakaribisha tufanye biashara tuwasiliane kwa namba 0693391566.
Habari wakuu nina mzigo wa maboga safi ya kienyeji takribani 500 yapo Mtwara Mjini nawakaribisha tufanye biashara tuwasiliane kwa namba 0693391566.
Mjinga sana mimi Member Joined Aug 18, 2022 Posts 96 Reaction score 332 May 19, 2023 #2 Toa uza mbegu zake
Khamisi Mkuza Umai Member Joined Mar 3, 2021 Posts 5 Reaction score 5 May 19, 2023 #3 UHURU ONE said: Habari wakuu nina mzigo wa maboga safi ya kienyeji takribani 500 yapo Mtwara Mjini nawakaribisha tufanye biashara tuwasiliane kwa namba 0693391566. Click to expand... Nahitajia sana mbegu za maboga kwa wingi sana utakuwa nazo au unaweza kuzupata
UHURU ONE said: Habari wakuu nina mzigo wa maboga safi ya kienyeji takribani 500 yapo Mtwara Mjini nawakaribisha tufanye biashara tuwasiliane kwa namba 0693391566. Click to expand... Nahitajia sana mbegu za maboga kwa wingi sana utakuwa nazo au unaweza kuzupata
Ngiama makanda JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 2,197 Reaction score 3,918 May 19, 2023 #4 UHURU ONE said: Habari wakuu nina mzigo wa maboga safi ya kienyeji takribani 500 yapo Mtwara Mjini nawakaribisha tufanye biashara tuwasiliane kwa namba 0693391566. Click to expand... Peleka Zanzibar utakuja nishukuru
UHURU ONE said: Habari wakuu nina mzigo wa maboga safi ya kienyeji takribani 500 yapo Mtwara Mjini nawakaribisha tufanye biashara tuwasiliane kwa namba 0693391566. Click to expand... Peleka Zanzibar utakuja nishukuru
chamkononi Member Joined Sep 3, 2021 Posts 43 Reaction score 45 May 20, 2023 #5 Khamisi Mkuza Umai said: Nahitajia sana mbegu za maboga kwa wingi sana utakuwa nazo au unaweza kuzupata Click to expand... Weka bei mkubwa....mzigo unapatikana
Khamisi Mkuza Umai said: Nahitajia sana mbegu za maboga kwa wingi sana utakuwa nazo au unaweza kuzupata Click to expand... Weka bei mkubwa....mzigo unapatikana
emmarki JF-Expert Member Joined Nov 22, 2012 Posts 1,096 Reaction score 1,606 May 21, 2023 #6 Khamisi Mkuza Umai said: Nahitajia sana mbegu za maboga kwa wingi sana utakuwa nazo au unaweza kuzupata Click to expand... 0752042670 nicheki hapo tuyajenge
Khamisi Mkuza Umai said: Nahitajia sana mbegu za maboga kwa wingi sana utakuwa nazo au unaweza kuzupata Click to expand... 0752042670 nicheki hapo tuyajenge
Masangutu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 814 Reaction score 653 May 21, 2023 #7 Nje ya mada Kwa anaejua Kwa Dar yanapopatikana matikiti maji aina ya sweet melon ya njano..tuwasiliane
Nje ya mada Kwa anaejua Kwa Dar yanapopatikana matikiti maji aina ya sweet melon ya njano..tuwasiliane
Masangutu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 814 Reaction score 653 May 21, 2023 #8 Hayo maboga ni aina Gani na size Gani?weka picha