Hao watakuwa ni wadogo (gramu 500 kwenda chini), bei ya kamba koche kwa sasa ni Tsh 42000 kwenda juu kwa kama wakubwaMchina anakuibia, Zanzibar tunalipa Kg moja ya Lobster 18000tzs, na kamba hao huletwa toka huko Bara Mtwara nk
kamba kochi ni nini??
Ndugu nauliza soko la bei
nzuri la Lobster.
nimekua nikifanya biashara na mchina mmoja kwa muda sasa ila bei yake
imekua ya kunyonga sana. J e kuna mdau yoyote mwenye idea ya soko zuri
kwa hapa Dar au pia mahala pa kuwapata kwa bei nzuri walau 42,000 kwa
kilo??
Nawasilisha
kwani wewe nyumbani kwako huna kochi!!kamba kochi ni nini??